nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,114
- 1,879
Pasm usije kutelekeza familia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanga kunani jamani.? Hii thread ya tatu naona inaelezea mabinti wa kitanga. Na kuna muhenga mmoja alishawahi kuja na thread akaelezea jinsi alivyo telekeza familia yake Moshi akazamia Tanga. Mimi nasemaje sitaki kusimuliwa tu nitahitaji nishuhudie mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app