G
guest-1790917349
Guest
tafuta pesa mkuu..
Hahahaa haaaa
tafuta pesa mkuu..
Ukitaka demu akupende fanya mambo haya matano
Hahahaa haaaa Yaaani nimecheka jamani
Mbavu zangu nihurumieni jamani
Hawa ni wale ambao hela wamezijua ukubwani. Ulimbukeni tu.Usiusemee moyo.
Mtu unaweza kuanza naye maisha ya chini lakini akisha/mkishazipata na jeuri inaanza wanawake sana, kuhonga kwa kwenda mbele na ikibidi anakuolea mke mwingine au anahamishia makazi/huduma kwa kimada we unabaki kuumia tu na wanao nyumbani! Loh..!!!!
Kiufupi haya mambo hayatabiriki wala hayana formular.....kwahivo ni bora mtu akachagua side ambayo yuko comfortable nayo.
Hahahaa haaaa Yaaani nimecheka jamani
Mbavu zangu nihurumieni jamani
Usiusemee moyo.

Izi kauli za asiye nacho leo kesho atakuwa nacho ndo za kiasikini. Some people die as broke as f**k. While others are rich forever.Mabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda mtu mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye gari, nyumba nzuri, viwanja hivi mnajua kavipateje?
Pia mnajua ni mabinti wangapi wazuri na warembo wanavitamani vitu hivyo?
Binafsi na washauri mtafute wanaume ambao mtatafuta nao hivyo vitu.
Asiye nacho leo ni mwenyenacho wa kesho na aliye nacho leo ni asiye nacho wa kesho.
unjitetea tu naonaunachotakiwa hapo zisake pesa mkuu. Acha zako za kale kwamba alieko juu mngoje chini siku hz hawashuki. ucyegemee mwenye nazo atafulia sahauMabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda mtu mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye gari, nyumba nzuri, viwanja hivi mnajua kavipateje?
Pia mnajua ni mabinti wangapi wazuri na warembo wanavitamani vitu hivyo?
Binafsi na washauri mtafute wanaume ambao mtatafuta nao hivyo vitu.
Asiye nacho leo ni mwenyenacho wa kesho na aliye nacho leo ni asiye nacho wa kesho.
Wanao anzia chini nakubadilika niwachache sana kwenye msafara wa mamba hakosekani kenge....ila nivizuri kuanza kujenga maisha mkiwa wawili.
Talaka inaweza kutokea pande zote mbili mlietafuta nae pia uliemkuta nazo. Angalia matokeo, mlie tafuta nae hakuna mali wala kitega uchumi hukijui mkitalakiana mnagawana mali nusu kwa nusu. Mbali nakuonganishwa na ndoa pia mali zinawaonganisha
Turudi upande mwingine ukipigwa talaka unaondoka na lile begi lako ulilo kuja nalo hata hukuwa na akili ya kununua lingine.
Word!, true!
Kuanza na mtu sio guarantee. ..
Tena wanaume wakishapata wake zao walioanza nao wanawaona washamba ...
Hapo ndio wanakuwa hawana quality
Hapo ndio anapojua kutembeza kifanyio chake
Wengine wanaleta dharau matusi