Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?
siyo wote lakini....
Wapo kwenye business
Wapo kwenye business
You take many_then you generalize...hiyo imo mkuu
Uzuri katika kila hatua huyo partner anakuwa ana shughuli maalum e.g kumpa madesa,kumuongezea maksi,kumuweka mjini,kumpenda e.t.c
at least huwa kuna sababu
Je vijana wa kiume? ana mademu watatu wote ni classmates,kitaa wapo wawili, home kwao (kule ushagho) wapo wawili, mama mwenye nyumba bado,plus na mtoto wa tajiri fulani sasa anajitahidi amuoe
mmmmhh wote balaa,hakuna cha mabinti wala wakaka.
acha waje waeleze akina feis buku!
mi naona wanafanya vizuri ili wapate experience,Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?