Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,240
- 12,346
Mbona picha zenyewe ni za mabinti wa kizungu? Wayahudi ni jamii ya kiarabu, embu tafuta picha zao tuweze kuzithamanisha. Acha hizi za kuchakachua.
Umeona picha ya mama Maria? Au mama yake Yesu Kristo au wanawake wa kiyahudi halisi walivyokuwa wana vaa? Hao wavamizi walioko sasa hivi wametoka Europe, my friend google acha uvivu wa kusoma na kuamini kila unacho ambiwa na anayetaka kuku chota mawazo yako! Badilika fanya research acha uvivu kubwa zima ovyo kabisa enoah!Ha ha ha acha utani na huyo alkaida wako
Mkuu, hii avatar yako inenikumbusha mbali.Duu..mkuu wakija kule wengi wanakuwa single hao..nyege zinawasumbuwa....
Yaa..mkuu mapicha ya kibabe hayo..mm ktk home library yangu..mapicha km hayo hayakosi mkuu..sometimes najikumbusha...nilipotoka.. predetor.. First blood.. Terminator..war bus..the hard way. . First platoon... Commando... Cobra....deadly pray. . Many more. Huwa lazima yawepoMkuu, hii avatar yako inenikumbusha mbali.
watu wengine ni mende kweli, huwezi sifia *A* bila kuponda *B* ? kenge kabisa wewe
Mm nabaki Rwanda na Ethiopia.
Mh hata mmnishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
Labda akilinishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
hahah hata mm asehnishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
For me.....
Wa Ethiopia, Somalia na wanyarwanda hawa kweli kiboko
Now nipo Rwanda huku, jamani mabinti wa kinyarwanda ni wazuri balaa, nashindwa hata niwaanzeje kuwatongoza maana viwango naona vimenipita.
Umetisha Mkuu, uaikumbuka Blood Moon?Yaa..mkuu mapicha ya kibabe hayo..mm ktk home library yangu..mapicha km hayo hayakosi mkuu..sometimes najikumbusha...nilipotoka.. predetor.. First blood.. Terminator..war bus..the hard way. . First platoon... Commando... Cobra....deadly pray. . Many more. Huwa lazima yawepo
Umetisha Mkuu, uaikumbuka Blood Moon?Yaa..mkuu mapicha ya kibabe hayo..mm ktk home library yangu..mapicha km hayo hayakosi mkuu..sometimes najikumbusha...nilipotoka.. predetor.. First blood.. Terminator..war bus..the hard way. . First platoon... Commando... Cobra....deadly pray. . Many more. Huwa lazima yawepo
Duu...mkuu itakuwa nimesahau.. Lazima itakuwa nimeiona tu...maana zamani ilikuwa movie ikiingia mpya inaonyeshwa mwezi mzimaUmetisha Mkuu, uaikumbuka Blood Moon?