Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

Mbona picha zenyewe ni za mabinti wa kizungu? Wayahudi ni jamii ya kiarabu, embu tafuta picha zao tuweze kuzithamanisha. Acha hizi za kuchakachua.
 
IMG_0385.JPG
Ha ha ha acha utani na huyo alkaida wako
Umeona picha ya mama Maria? Au mama yake Yesu Kristo au wanawake wa kiyahudi halisi walivyokuwa wana vaa? Hao wavamizi walioko sasa hivi wametoka Europe, my friend google acha uvivu wa kusoma na kuamini kila unacho ambiwa na anayetaka kuku chota mawazo yako! Badilika fanya research acha uvivu kubwa zima ovyo kabisa enoah!
 
Mkuu, hii avatar yako inenikumbusha mbali.
Yaa..mkuu mapicha ya kibabe hayo..mm ktk home library yangu..mapicha km hayo hayakosi mkuu..sometimes najikumbusha...nilipotoka.. predetor.. First blood.. Terminator..war bus..the hard way. . First platoon... Commando... Cobra....deadly pray. . Many more. Huwa lazima yawepo
 
Mm nabaki Rwanda na Ethiopia.

Mkuu, Ethiopia nakubaliana na wewe,Rwanda ungeweza kuwepo miaka ya kabla ya 1994,bahati mbaya mbegu nzuri karibia yote ilitangulia mbele ya haki; sura tu sawa, lakini sura+shape, elekea Burundi,Karagwe mnao wengi mbona!
 
For me.....
Wa Ethiopia, Somalia na wanyarwanda hawa kweli kiboko

East Africa utoe Kenya;Burundi usiiache,ni mitambo.Tanzania Karagwe (washambo)wapo warefu,warembo,wapole. Uganda ukisikia wanyankole, Rwanda sasa hivi hamna kitu,1994 iliwamaliza,ndo kulikuwa na viumbe basi tu
 
Yaa..mkuu mapicha ya kibabe hayo..mm ktk home library yangu..mapicha km hayo hayakosi mkuu..sometimes najikumbusha...nilipotoka.. predetor.. First blood.. Terminator..war bus..the hard way. . First platoon... Commando... Cobra....deadly pray. . Many more. Huwa lazima yawepo
Umetisha Mkuu, uaikumbuka Blood Moon?
 
Back
Top Bottom