Mabinti wa Kichaga na Kipare

Nyie ndo wale mnaoa miguu na makalio halafu haipiti muda malalamiko na nyumba ndogo kila kukicha.

Kweli hujakosea wana vimiguu vyembambaaaaaa halafu na makalio kama ya kihindi wengi sana wapo ivo wala wasibishe kama wapo wenye guu la bia basi mojakwa kumi na kama wapo wenye kalioz basi nao ni moja ya kumi.
 
leo ntakupinga bro....huo usemi wako ni mzuri lakini umeharibu ulipoweka nen chaga woman... binti yeyote mwenye mawazo chanya mcha Mungu mbunifu mwenye upendo wa dhati mwenye utayari mwenye kuthubutu mwenye kiasi hakika huyu atakufanya uishi kwa upendo na mafanikio makubwa na uzee wako hautakuwa wa manungu'niko.........na haijalishi kabila mkuu wangu.......
Na ndio sifa za wanawake wa kichaga hzo..
 
Kwa nionavyo mimi wapo wachaga wazuri na ushahidi wengi hushika namba za juu ktk miss tz...ila 80's (sina uhakika siku hizi) kurudi nyuma mtoto wa kike uchagani alikuwa hana sehemu (kutengwa) hawezi milki ardhi na ilifika sehemu hata kuzikwa wanazikwa upande wa mume...na imani hata leo kuna bintis wa huko mgombani wanakumbana na vipigo/manyanyaso kutoka mfumo mangi na hivyo wengi kukataa kuolewa tena umangini na kwenda 'chasaka' kutafuta upendo- fidia.....sasa wewe msukuma 'mami' ole wako ukutane na muathirika huyu wa mfumo mangi utapelekwa kama gari la mkaa...na wengi huwa hamsemi nyinyi..mnajikaza kisabuni tu.. 'kwishney ngosha'...
 
MORIA umeandika pumba hazina fahda kama magunzi ya mahind hata kuku awezi kula.wewe ukiowa mke unataka akazikwe kwao kaziii kwel kwel.uwo mfumo mang unaousema sijapata usikia jf bana mara wanawake wa kichaga wanatesa waume zao,mara wanamiguu membamba .vifua vipana ,makalio ya kihindi ..KUMBUKA MTI WENYE MATUNDA NDIO UTUPIWAO MAWE NA KILA M2 WATOTO KWA WAKUBWA.mi namshukuru mungu dada zangu watatu nishakula mahari na mimi nitarudi kuchukua wa hukohuko mgombani.
 
Wewe ni mchaga wa wapi ndugu yangu, maana kuna makundi 3 ya wachaga(kimaeneo) ...nilijua tu utarudi kuoa mgombani afu umtelekeze mkeo mgombani na wewe uende dizmu kutafuta 'ngoma'..,kwani huko kwenu wanawake n'kitu basi mburaaa!, wayii mwanamke ni pale anapokuwa mporaa tu basi.., jipange na hoja usije na hasira....nimeshiriki tafiti mbali mbali ktk k'manjaro ndugu..
 
Heshima mbele mkuu, sina matatizo ya akili, hunijui sikujui, narudia tena si lazima uchangie kila post unayoiona, nyingine unaweza zipotezea tu. Acha kugombana na keyboard yako. LOL
hahahahahahahaha . . .napita 2. . .eti acha kugombana na keybod yako
 
HAYA SASA. kafanye utafiti kuhusu hawa, mabinti wa kimbulu, kihaya, wairinga, wasambaa, mwisho wakimeru alafu utuletee nao tuwajue
 
mi mchagga,zamani ndo nlikua nawaona wadada wana miguu miyembamba ila sio sana,kuhusu wapare bana wengi wana miguu minene.angalia totoz za usangi hedaru na pengine anapotoka mama yako...na kutoka na mazingira sijaona totoz ya kichagga leo hii eti ina miguu miyembambaaa.after all hamna aliye kamili
 
point yake kaitoa huko
 
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto hasa wa kiume, wanaume zao wanakufa ghafla!!! ni kwa nini? Pia Kwa nini WAKAKA wengi wa kichaga hawapendi kuwaoa wachaga wenzao? plz nisaidien kwa hili!!

sizitaki mbichi hizi.... Una uwezo wa kuwasogelea wewe? jaribu ufe
 
Nilidhani hii mada inazungumzia kati ya mabinti wachaga na wapare wepi ''siyo wachoyo''....Nijuavyo mimi wapare ''siyo wachoyo'' kabisa, halafu wengi wao ni warembo sana!
 
Kuna mpumbavu mmoja Disemba mwaka jana alikuja na madai ya ajabu sana dhidi ya mabinti wa Kichaga na cha kushangaza yalionekana kuungwa mkono na baadhi ya watu.

Alidai kuwa eti mabinti wa mwisho kwenye uzao huwaga wanalalwa na baba zao ili kuwatoa bikira zao. Eti ilisemwa hii ni moja ya mila za Kichaga. Mimi nilishindwa kabisa kuona mantiki ya baba mzazi kumlala binti yake wa kike. Lakini kuna watu walielekea kukubaliana na mleta hoja kuwa ni kweli hayo hutokea.

Bado kabisa nasita kukubali kwa sababu sioni hata chembe ya mantiki kwa baba kumlala binti yake. Binti yako wa kumzaa atakutamanishaje kimapenzi? Hata kama ni sehemu ya mila (hmm bado sijakubali hili aisee) lakini hata kiubinadamu tu haiji kabisa labda uwe umerukwa na akili za kawaida ndiyo utaweza kufanya hivyo.

Kwa hiyo hii mada nayo ni mwendelezo ule ule tu wa kuwaandama wadada wa kichaga. Mara wako hivi...mara wanafanywa vile na baba zao....mara wana hiki. Yaani ni madai na uzushi usio hata na haya. Poleni mabinti wote wa Kichaga. Kama mdau mmoja hapo juu alivyosema, mti wenye matunda ndiyo daima hupopolewa mawe. Endeleeni kukandamiza, tena kandamizeni kwa kasi zaidi, nguvu zaidi, na ari zaidi.
 
Nachukua fursa hii kuungana na Nyani Ngabu kuwaomba radhi mabinti wa Kichagga na Kipare kwa usumbufu wowote uliotokea kwa mada hii na zingine zinazofanana nazo.Mko juu na mtaendelea kuwa juu.
 
Back
Top Bottom