Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Wacha nijipitishe nione kama joanah atanisalimu.Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Nitakusalimia labda nikikwama nauliWacha nijipitishe nione kama joanah atanisalimu.
😁😁😁😁Nitakusalimia labda nikikwama nauli
Kumind mtu kisa hajakusalimu mi kwa upande wangu naona kama haiko sawa.
Maisha yanavyoenda kasi. Kuna muda unapita watu lakini huwaoni sio kama huko kijijini kwenu mnajuana nyumba mpaka nyumba.Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...
Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
BINTI HUJAMBO?Wewe salamu inakuongezea nini?
kwi kwi kwi kwi kwi masulupwete on fleekWe mwenyewe masulupwete utatoa msaada gani? (Joke)