Mabinti wa Dar: Ukiona Kakusalimia...

Mabinti wa Dar: Ukiona Kakusalimia...

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,435
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
 
Wacha nijipitishe nione kama joanah atanisalimu.
 
kabisa mkuu kukusalimia ni uwamuzi wa mtu akisalimia akuongezei kitu akinyama akupunguzii kitu
Kumind mtu kisa hajakusalimu mi kwa upande wangu naona kama haiko sawa.
 
Wana dharau sana hawajui kusalimia mtu. Na ukiona kakusalimia jiandae basi kuombwa msaada. Ni lazima ama kapotea anataka umwelekeze au kakwama nauli anataka umesaidie...

Mi huwa nawatazama kwa dharau hivohivo kisha nasepa zangu.
Maisha yanavyoenda kasi. Kuna muda unapita watu lakini huwaoni sio kama huko kijijini kwenu mnajuana nyumba mpaka nyumba.
 
We mwenyewe masulupwete utatoa msaada gani? (Joke)
 
Back
Top Bottom