cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,129
Tobaaah!!Kawaida sana
Tobaaah!!Kawaida sana
Duuh hatariii hii.Hawa vijana huwa wanazidisha mambo sana, na mara nyingi ni wale wanaokula chochote kinachopita njiani, hata kiwe ni uchafu.
Class eh vina muda hivyoYaan binafsi kuna class ya mtu wa ku date nae,
Siwezi date na mtu siendani nae, eti kisa hela, hapanaaa.
Je kwa upande wako marindayako Salama?Sijuagi kwanini mnapenda sana hii mentality, nilikua naona km vile una hoja, ila hapa nadiriki kusema acha kujipa umuhimu ktk maisha ya watu.
Mama, dada, ndugu zako wa kike, kaa nao huko kwenu na uwaambie hayo uyatakayo, ili waya epuke.
Sio unakuja hapa kutoa hizi njegeka zako? Nani hajui hilo? Au wee ndo wa kwanza kupita huko chuoni? Na uta paacha pia,
Sorry km nimekukwaza, 😂😂😂😂😂
Mi sijui nilikua na tatizo Gani tangu chekechea shule ya msingi form four advance mpaka diploma ya c o sijawahi lala au tembea na mwanafunzi mwenzangu Huwa najiuliza sana ni ushamba au mtazamo tu wa mtuDuuh hatariii hii.
ulikuwa na mdomo mzito tu mkuu.Mi sijui nilikua na tatizo Gani tangu chekechea shule ya msingi form four advance mpaka diploma ya c o sijawahi lala au tembea na mwanafunzi mwenzangu Huwa najiuliza sana ni ushamba au mtazamo tu wa mtu
Hamna nilikua mchangamfu nanilikua natongoza nakubaliwa ila kula mzigo kipengeleulikuwa na mdomo mzito tu mkuu.
Kuna kamoja nimekafanyia interview ya kazi ijumaa kametoka TIA aisee Ni majanga mtoto wa miaka 22 matiti Kama ya mama wa miaka 45 yamelala yoyo Ni aibumalezi mabovu na tamaa ni vitu vibaya vibaya sana.
Nahamia Dodoma mwakani, nikapange mtaa gani ?Upo mkoa upi nikwambie pa kupanga
Consistency is everything, wamechagua umalaya basi sawa haina nomaWakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti huyu baada ya muda atahitimu atakutakana na kijana mwingine smart mtulivu ataolewa nae hapo ndo kijana yule hakuna rangi ataacha kuona.
Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
NB:Sio chuki ni mawazo tu na sio wote
Mzinzi akitetea FUNGU LAKE 🤣🤣🤣Kwa kweli imekuumiza na kukuvunja moyo sana, nakushaur uwe mtu wa ibada sana, ipo siku mungu atakusikia ashushe moto awateketeze wasiwepo tena, ubaki pekeako na usafi wa moyo wako...
Kutoka kuwa afisa habari wa jeiefu mpaka uzinziChuo ni kawaida kuishi unyumba tena demu anafanya majukumu kama mke kabisa kufua kupika na kupiga pasi nguo za jamaa yake 🤣🤣 afu na usikute unapewa penzi kila siku asee chuo raha sana jmn
Mzinzi kazini🤣🤣🚮🚮Sijuagi kwanini mnapenda sana hii mentality, nilikua naona km vile una hoja, ila hapa nadiriki kusema acha kujipa umuhimu ktk maisha ya watu.
Mama, dada, ndugu zako wa kike, kaa nao huko kwenu na uwaambie hayo uyatakayo, ili waya epuke.
Sio unakuja hapa kutoa hizi njegeka zako? Nani hajui hilo? Au wee ndo wa kwanza kupita huko chuoni? Na uta paacha pia,
Sorry km nimekukwaza, 😂😂😂😂😂
UNAHOJA USIKILIZWEHuyo kijana smart mtulivu ni kutoka Sayari ya Mars au hapa hapa bingo?
Halafu mbona hata hawa wa kitaa wanachapika sana na wauza simu, Boda boda, Waeka movie na Wauza chips?
Mmezidi kulalamika kuliko wanao liwa yaani, as if mnalipia kodi
Kila mtu na dhambi zake, hata ww unazo zako, usifosi tufanane.Mzinzi akitetea FUNGU LAKE
Hatari sanaKuna kamoja nimekafanyia interview ya kazi ijumaa kametoka TIA aisee Ni majanga mtoto wa miaka 22 matiti Kama ya mama wa miaka 45 yamelala yoyo Ni aibu