Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

unajuaje kama bikra mkuu
Kwani wewe unajuaje kuwa huyu siyo bikira? Si unamchana live kabisa kuwa nikikuta haupo bikira ndoa inaishia hapo

Kwenye mambo kama haya usabato na ulokole uweke pembeni kabisaaa... mshawishi umle kabla ya ndoa japo mimi nilikutana nae kwenye ndoa akiwa bikra
 
Kwani wewe unajuaje kuwa huyu siyo bikira? Si unamchana live kabisa kuwa nikikuta haupo bikira ndoa inaishia hapo

Kwenye mambo kama haya usabato na ulokole uweke pembeni kabisaaa... mshawishi umle kabla ya ndoa japo mimi nilikutana nae kwenye ndoa akiwa bikra
sawa sawa mkuu
 
Hata waliopo mitaani na vijijini wanayafanya hayo lakini haisemwi. MWANAMKE/BINTI AOLEWA AKISHA VUNJA UNGO,,,, huko kwingine ni sagurasagura mitumbani nguo nzuri nyingi, mpya chache.
 
Hapana mimi sisemagi hamjiamini bali nasemaga mkitaka wanawake wajitunze basi wanaume acheni kuwachezea hivyo kwa kifupi nanyi hamna budi kukubali kujitunza, mambo ya kusema eti wanakubali kwa ujinga wao na kwamba wao ndio wanapata madhara hiyo ilikuwa zamani siku hizi tunaona mnaoongoza kulalamika ni ninyi kwa sababu ya kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka, nimependa mtoa mada naye aliposema kwamba na wanaume muache kuwachezea hao mabinti bora yeye amejua kwamba suala la wanawake kutojitunza siyo kosa lao peke yao bali la wanaume pia hivyo wote wanatakiwa kuwajibika
Umeongea ukweli Jadda
 
Kipindi nasoma chuo kulikuwa na wale wa kuitwa watoto wa "Mama Salma", ilikuwa ukipiga demu, alafu badae masela wakuambie ni mtoto wa "Mama Salma" unatamani dunia ipasuke, utakosa raha hata miezi mitatu, badae unarudia tena.
 
Vyuo vya juu, kati na chini wanachapika kwa kwenda mbele, ni malaya balaa. Hutaka kujaza pocket money zao, wanapenda hela sana
 
Mwanamke mzuri wakuoa ni ambaye hajasoma.Aliye soma n mjuaji
 
Back
Top Bottom