Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,195
- 10,821
Sawa sawa hongeraKila mtu na dhambi zake, hata ww unazo zako, usifosi tufanane.
Sawa sawa hongeraKila mtu na dhambi zake, hata ww unazo zako, usifosi tufanane.
Asante sana...Sawa sawa hongera
IpooUnayo hela ya chips kuku nikupe?
ArushaUpo mkoa upi nikwambie pa kupanga
Kumbe upo siriazi, upweke utakuua mpishi 😂Ipoo
UshaniuaKumbe upo siriazi, upweke utakuua mpishi 😂
upo mkoa au dasalama?Ushaniua
Mkoaupo mkoa au dasalama?
Kama n mkoa nikikupa wa dasalama atakulia nauli yako bureMkoa
Wew nipe kwani sirudi dar?Kama n mkoa nikikupa wa dasalama atakulia nauli yako bure
Ukirud sema upeweWew nipe kwani sirudi dar?
Wee nipe acha chenga zakoUkirud sema upewe
Utafilisika, shauri yako😂Mimi sijawa wafikia bado kuwachapa nataka kupanga karibu na chuo
Tulia hujuhi maisha.malezi mabovu na tamaa ni vitu vibaya vibaya sana.
Najitoa mhanga
OkTulia hujuhi maisha.
Njoo pmWee nipe acha chenga zako
Umefunga sasa nakujajeNjoo pm