Mabinti msiojitambua amkeni


Umeandika kwa hisia kweli.
 
Umepanic sister,
huwez oa wanaume, ila unaweza mtunza mwanamme..
sisi kwenye kuoa haina maana tunawatunza tu wanawake, inaenda mbali na hayo..

Akili kama hizi za kwako ndio haswaaa zinawarudisha nyuma wanawake wengi
 
Mimi mwanaume wangu kaniambia nimpikie kisamvu,halafu kesho muhogo,hapa ndo natafuta kisamvu,halafu asiponioa mleta mada utanioa wewe.
Ninavyopenda kisamvu ngoja niweke oda kabsaaa kwa muhusika...nwa wqali wa nazi walah.
Asante kunikumbusha
 
I can hear vigere gere kwa mbaaali,na harufu ya Biriani, Somebody is seriiously about to get married here!!!
Kweli wengine wanabahatikaga haswa!
usinisahau kadi basi
 

Kila kukicha unazidi kukua na kuwa bora, nakutizama tu.

Bwana azidi usimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…