Mabinti msiojitambua amkeni

Mwanamke unamwambia nataka kuleta posa kwenu badala ya kukupa go ahead anakwambia subiri halafu huku anakuachia ugonge na kukupiga vibom mwisho wa siku kidume unashtuka hapa nimeingia chaka na kwa kuwa ushalamba asali unaondoka anaanza kulaume we ni mchezeaji hukuwa na nia wakati yeye ndie kajiaribia
 
Mpe pole sana,.wenzake wakati wanakamilisha malengo yeye atakuwa anapiga "maktaim" tuu,..abadilike aache huo ujinga,.
 
Nikufulie...nikupikie....nikuoshee vyombo??? Mahari umelipa???
 
Sijasoma lakini nakaziaaa
 
Mimi mwanaume wangu kaniambia nimpikie kisamvu,halafu kesho muhogo,hapa ndo natafuta kisamvu,halafu asiponioa mleta mada utanioa wewe.
Usinikumbushe kisanvu kuna siku nliambiwa nimpikie Mr mda huo hatujaonana kitamboo ndo anakuja kuniona ...aseee nlipika kisanvu cha ajabu sitosahau maishani ...........nilikieka jikoni baada ya dakika ishirini nilikua nimeshakiunga Nazi na kila kitu .....time ya kula nlichambwaaaaa mpaka basi kwakweli niliona aibu sijui nilipatwa na nini ....wallah nikaachwa kisa sijui kupika dah
 
Hahahahaa uwwiii,..sasahivi unaweza sasa au bado unachemsha chemsha??
 
Hahahahaa uwwiii,..sasahivi unaweza sasa au bado unachemsha chemsha??
Shogaa kwani nilikua sijui????? Nlipatwa na mawenge tu nilipika kwa kupanic tena mpaka wali ulikua wa hovyo kuwahi kutokea duniani.....me nlipewa taarifa kwamba nakuja ntafika SAA kumi na mbili jioni....na Mimi nikazurulaaaaa SAA kumi na mbili nkamfata stand nmerudi ndo naanza kupika kisanvu .....sasa nlipika haraka ili awahi kulaaaa
 
Hhehehhee jamanii,.ulikumbwa na kitetemo cha Mr eeh[emoji23]
 
Sikuhizi nikiambiwa nakuja naanza kupika time hiyo hiyo mdogo mdogo mpk anafika nimekamilisha nasifiwa kila siku chakula kitamu chaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Agha,..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shogaa basi hukuwa na utulivu naww,..ulikuwa na haraka kuliko upesi loh!!!
 
Yeah ndicho kilichoniponza paparaaaaa.....ye nae alizidi me napika huku ananitekenya alitegemea ntapika vizuri?????
Wacha bibi weeee,.ukitekenywa si ndio mzuka unapanda unajikuta kama unapikia peponi vile,chakula shuti kiwe mubasharaa kwa utamm,.
 
pole shogangu mimi itabidi siku ikifika nikumbuke hii comment yako nachojua kisamvu kinapikwa siku 2 kikichemshwa leo kiungwe kesho kikibaki tena ndo kinanoga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…