Mabinti msiojitambua amkeni

Sina cha kusema ila nataka kukwambia mleta uzi sapoti yangu unayo.
 
[QUOTE="amu, post: 27723877, member: kisamvu, [/QUOTE]

Eee kisamvu tena .... haya mpe!
 
Kama hamtaki kuolelewa mbona kila siku mnashinda makanisani na miskitin kuombewa mpate wachumba au waume
 
Mwanamke yoyote mwenye busara atakwambia “Mwanamke hawezi kushindana na mwanaume hata siku moja”.
 
Sawa kabisa mama mchungaj mtyombe jmn maana wanawake wenyewe na siku hiz kwanza mpo wengie hilo mlijue pili mmekuwa rahisi kutongozeka 3 mmejaaliwa sana yaani kila akipita ni mashalaaah kaumbika hatar utazan kashushwa kutoka mbinguni sasa hata kama nyie mngekuwa wanaume msingewaacha buana.
 
You are heaven sent my dear ccy
 
Duuuuuuuuuuuuuuh!!!!! Ujumbe uko poa sana ila ondoa hapo wake, mama zetu na dada zetu kwanza maana twawafunda atieeee...
 
Sawa mnaolewa na elimu na biashara lakini ile heshima ya kuolewa na kuwa na familia bora haipo. Utamu wa familia ni baba mama na watoto, unataka familia nusu?? Yenye baba tofauti? Kuolewa ni "HESHIMA"
 
lakini ajabu anaenda kuishia kwa mbandika makope,mikucha mirefu ova mdomo wa chuchunge,wavaa vikuku,waso staha na kila aina ya umjini,
Hii ni point mkuu, nina ndugu yangu kashalizwa na wanawake mara tatu kwa kukombewa vitu vyake vya ndani na tatizo lake ni muokotaji wa vichangu vya pale Meeda Sinza yaani yeye akiona Dem kajikoki malipshine na vipedo ndio anaona huyo ndie mwanamke wa kisasa basi kila siku anaanza upya Maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…