chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,885
- 29,675
Habari zenu wanaMMu
Mara nyingi unakuta wanawake, wasichana ama mabinti wanaumizwa na wapenzi wao pale wapenzi wao wanaposhindwa kuwatimizia ahadi walizowaahidi, kimsingi wanapata uchungu sana tena machungu zaidi yanakuja pale mwanamke anapokuwa ameshatoa penzi kwa mwanaume kwa minajili ya kuolewa, kujengewa nyumba, kusomeshwa n.k na hatimaye mambo yanakuwa sivyo kama alivyotarajia mwanzo!!
Swali langu la singi;
1.Hivi nyie wanawake mtadanganywa hadi lini?
2.Nyie hamjui namna ya kuwadanganya wanaume kama wanavyowatenda?
Nawasilisha kwenu,.