Mabint na masharobaro!!!!

Haya Mkuu!...I hope hutampa assignment ya kukutafutia vipodozi! hahahahahah lol! (I am just joking Kaizer) :)

hahah mkuu BAK after all leo ni TGIF, ila on a serious note huyo dogo ana kazi nzito sana ya kufanya

baada ya yale ya Straus-Khan hakuna mtu anataka kutake things for granted......u knw what I mean...LOL
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapo dear... Neno sharobaro laweza onekana ni jipya but maana yake ni ya muda mrefu... Kuna sharobaro alojifunzia ukubwani na kuiga mpaka akawa to perfection na kuna Sharobaro nurtured kwamba naturally kazaliwa na traits za usharobaro na apart from hilo yeye sharo baro, baba sharobaro na babu alikua hivyo hivyo... kwa mantik hio naamini unakubaliana nami kua huo kawa nurtured....

Babaake Dully sykes Ni sharo kishenzi watoto itakuaje.
 
Wapo dear... Neno sharobaro laweza onekana ni jipya but maana yake ni ya muda mrefu... Kuna sharobaro alojifunzia ukubwani na kuiga mpaka akawa to perfection na kuna Sharobaro nurtured kwamba naturally kazaliwa na traits za usharobaro na apart from hilo yeye sharo baro, baba sharobaro na babu alikua hivyo hivyo... kwa mantik hio naamini unakubaliana nami kua huo kawa nurtured....

Mhhh! Asha! hii kali! Ubarobaro kuanzia Babu! halafu Baba...mtoto ni lazima awe sharobaro! shurti aoge na kubadilisha nguo mara sita kwa siku na kujimwagia vipodozi mara hizo hizo sita kwa siku....mhhhhhh!

YouTube - ‪Ke$ha - We R Who We R‬‏
 
Babu nina uhakika wengi huwa wanaoga tena zaidi yaidi ya mara 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom