Mabint na masharobaro!!!!

Inaonekana mabint na hata wamama watu wazima siku hizi wanapenda vijana masharobaro ndo maana vijana wengi sikuhizi wanajipodoa na kuoga mara 6 kwa siku!!Je wewe wako nae ni sharobaro?

Mhhhhh! wanatumia vipodozi gani katika kujipodoa? Je, una ushahidi wa hili la kuoga mara sita kwa siku Mkuu? au ni dhana tu!?
 
Sharobaro ni neno lenye asili ya kiarabu lenye maana ya "Binti mrembo na maridadi". Pia ni kinyume cha neno Barobaro

Sijui kama Sharobaro ndio miaka michache ya nyuma walikuwa wanaitwa macheckbob
 
Sijui kama Sharobaro ndio miaka michache ya nyuma walikuwa wanaitwa macheckbob
Labda wameitwa hivyo kwa sababu ya kutumia sana vipodozi vya kike... Zamani tulikuwa nao vijana Macheki bobu na kulikuwa na Mabrazameni... Haya ni makundi mawili tofauti. Ila hawakuwa watu wa kutumia hizi podari japokuwa walikuwa wanaonekana wapo maridadi sana.

Watu ambao tulikuwa tumewazoea kuwaona wakitumia vipodozi na kujichubua walikuwa ni wazaire.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sharobaro ni neno lenye asili ya kiarabu lenye maana ya "Binti mrembo na maridadi". Pia ni kinyume cha neno Barobaro

mchungaji Mstaafu a.k.a X-Pastor ndo kusema yule wmanamuziki wa 'kiume' anayejiita Rais wa masharobaro kuwa ni Binti mrembo na maridadi!

dah

Wabilah Tawfiq....
 
Sharobaro <> Barobaro
Msichana <> Mvulana

Bora umetufafanulia Mkuu badala ya watu kuendelea kuharibu lugha za watu...Kumbe jina linalotakiwa kutumia ni barobaro na sio sharobaro.
 
mchungaji Mstaafu a.k.a X-Pastor ndo kusema yule wmanamuziki wa 'kiume' anayejiita Rais wa masharobaro kuwa ni Binti mrembo na maridadi!

dah

Wabilah Tawfiq....
Aah! Sasa uko mimi simo... Labda anamaanisha kuwa yeye ndiye rais wao hao warembo...!
 
Labda wameitwa hivyo kwa sababu ya kutumia sana vipodozi vya kike... Zamani tulikuwa nao vijana Macheki bobu na kulikuwa na Mabrazameni... Haya ni makundi mawili tofauti. Ila hawakuwa watu wa kutumia hizi podari japokuwa walikuwa wanaonekana wapo maridadi sana.

Watu ambao tulikuwa tumewazoea kuwaona wakitumia vipodozi na kujichubua walikuwa ni wazaire.

Hahahahaha macheckbob walikuwa wanajipenda sana iliingia fashion mpaka ya kuvaa mocassin nyeupe tena bila soksi (ukivaa soksi ulikuwa unaonekana wa kuja!)...halafu na miondoko ya ajabu ajabu hahahahahah lol! Wabongo bwana matata sana!

YouTube - &#x202a;Tinie Tempah - Written In The Stars ft. Eric Turner&#x202c;&rlm;
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom