Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,318
- 64,479
- Thread starter
- #41
Kwa kuwa nimeshaweka alama (kazaigoti), huyo ndio atakuwa kiunganishi chetu.Mtaachana tuu mkuu
Kwa kuwa nimeshaweka alama (kazaigoti), huyo ndio atakuwa kiunganishi chetu.Mtaachana tuu mkuu
Ndo mana mm sitaki single mother 😂Kwa kuwa nimeshaweka alama (kazaigoti), huyo ndio atakuwa kiunganishi chetu.
Ndio wenye mapenzi ya kweliNdo mana mm sitaki single mother 😂
Hayo mapenzi ya kweli ya single mother siyataki, yawapate wengine tuuNdio wenye mapenzi ya kweli
35+ ni mdada.. mbona ni mshangazi huo na mwendo umeshaumalizaSasa mkuu, mdada wa miaka 35+ ni mdogo?
Huyu tumuiteje?35+ ni mdada.. mbona ni mshangazi huo na mwendo umeshaumaliza
Nini kifanyike?Ogopa matapeli
Aje atupe maanaBacha Bazi 🤔 Financial Analyst
Huyu tumuiteje?
View attachment 3694743hii ni combo a.k.a mix by yass
Hacha mkuu watu wa pakistana watafuna makebo ya vijana wadogo wa kiume tena wanawapaka make up kama wanawakeBacha Bazi 🤔 Financial Analyst
Tumezidiana miaka 10 hiviMna umri gani?
Ananitapeli au amenogewa?Je ni mwanamke wa Mbeya?
Amka! Kumekucha
Umeitwa 'baba' kiwepesi wepesi sana tena kwa mahali pasipostahili.Kuitwa baba na mpenzi wako raha sana.
Nikimuongelesha tu, anaitikia ndio baba.
Nikimtumia kasalio tu, anasema asante baba.
Nikimpigia simu akiwa kazini, anasema nipo kazini baba.
Sasa najiuliza, hii kuitwa baba ni kwa sababu ya kumpa kazaigoti au amenogewa na mapenzi yangu?
Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu.
Inabidi niichukue hii, 'Baba' zingine nje ya hapo ni usanii wa kawaida.Umeitwa 'baba' kiwepesi wepesi sana tena kwa mahali pasipostahili.
Wakati ukipewa 'ahsante'au 'pole' ndiyo huatahili kuambatishwa na hilo neno 'baba' kwa pongezi za dhati ukiwa tayari umeshuka kutimiza 'wajibu' wako wa msingi.
'Baba' zingine nje ya hapo ni usanii wa kawaida.