Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Kwa maslai mapana ya familia, ngoja nimpige chini
Hapana bwana si unajua kuna kipindi unakosa kbs pa kuangukia ndiyo hivyo ukipata mchanga ndiyo unajiachia ili usiumie.

Yazooee tuu maana kaamua tuu kuleta swaga na kajua unapenda basi usivunje huo ukuta ulio uanzisha bwana jenga nyumba kubwa ili upate vyumba vingi.
 
Back
Top Bottom