Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Kuitwa baba na mpenzi wako raha sana.

Nikimuongelesha tu, anaitikia ndio baba.

Nikimtumia kasalio tu, anasema asante baba.

Nikimpigia simu akiwa kazini, anasema nipo kazini baba.

Sasa najiuliza, hii kuitwa baba ni kwa sababu ya kumpa kazaigoti au amenogewa na mapenzi yangu?

Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu.​
Mchaga huyo nimegundua
 
Ni mazingira tu ya kupunwa Mzee, hivyo ni vitu vya kawaida ukiwa unampa mapene na kumzingatia Sana...Licha ya kwamba ni mtoaji mzuri pia ww ni emotional support tool kwake, so wanawake wengi wako hivyo.
 
Unafaa kabisa kuwa nabii
 
Kuitwa baba na mpenzi wako raha sana.

Nikimuongelesha tu, anaitikia ndio baba.

Nikimtumia kasalio tu, anasema asante baba.

Nikimpigia simu akiwa kazini, anasema nipo kazini baba.

Sasa najiuliza, hii kuitwa baba ni kwa sababu ya kumpa kazaigoti au amenogewa na mapenzi yangu?

Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu.​
Mchepuko wake ukiona text zako atajua anaongea/chat na baba yake tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom