Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu

Miaka 35 ni mdada? Hebu kuwa serious kidogo mkuu.
Ila mi pia nipo kwenye raha hizo za kuitwa baba, siku moja nami nikamuita mama alifurahi saaaaana, ila hata sijui kwa nini roho yangu huwa inasita sana kumuita baby wangu mama
Labda kumuita hivyo, anajua utakuwa umemkubali.
 
Back
Top Bottom