toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 58
Hivi mabilioni ya pesa ambayo Nyalandu na watu wake waliwalipa wale wazungu kuifanyia PR wizara yake na serikali yameishia wapi?
Maana nashangaa pesa za misaada hawazitoi, bado wanasema kuwa serikali yetu imejaa wezi na majambazi, wale wale wazungu waliopewa pesa waandike habari nzuri bado tuu wanaendelea kukipaka na bad news. Sasa Nyalandu aliona umuhimu gani wale wazungu kulipwa pesa huko UK? kwa nini hizo hongo za pesa asingetoa hapa kwa hawa waandishi wetuwa habari ambao wakipewa semina Zanzibar au mikumi na bahasha za brown bas wao hukupamba wee mpaka!
waso it really worth it for Nyalandu kutoa zaidi ya dola milioni 3 kuilipa kampuni ambayo hawanyi kazi yyote ile au kasahau kuwa hawa wazungu hawanunuliki kirahisi kwenye zama hizi za twitter na new media?