Mabilionea wa Mwanza respect and silence

kitana ni balaa, anamiriki meli nyingi kuliko mtanzania yeyote
Huyu jamaa sijajua kama ka invest,ila inavyoonekana ana mzigo mno unaweza tupa investment zake mkuu?
 
Bado anaendeleza biashara ingawa mumewe angekuwepo wangekuwa mbali sana, ila mke anajitahidi maana haja tetereka kabisa.
hv wakuu mtu ukiaga dunia na biashara zako zinakufa? au ni uzembe wa Mke? au wa matajiri wenyewe kutowafundisha wanawake?
 
hv wakuu mtu ukiaga dunia na biashara zako zinakufa? au ni uzembe wa Mke? au wa matajiri wenyewe kutowafundisha wanawake?
Ni kutokushirikisha tu mke kwenye shuhuli zako, Huyu Mrehemu Kashaga alimshirikisha mkewe kukaa dukani akaona anawalipa maphamasist hela nying akampeleka mkewe kusoma pale bugando, mke anamaliza masomo na jamaa akafariki, mke anaiedeleza sana ile mali wala haja tetereka na ana respect sana kwa familia ya marehemu,wako wote wanapiga mzigo inawezekana kwa kuwa mkewe ni zao la Arusha mkuu ..haahaaahaa. Hapa kazi tu.
 
Kuna wale wasukuma wana matruck ya kubeba mizigo yako mengi sana kuna wakati yalikuwa yanakujaa Arusha matruck marefu yenye tella ndefu, yalikuwa yanaongozana kama 20 yakiingia sheli yanafunga kabisa mauzo kwa wengine yalikuwa na rangi kama cream hivi, sijui ni nani mmiliki wake yalikuwa ya mwanza jamaa inaonekana wako njema wale.
 
mkuu mbona umetaja wakria halafu unasema wachaga na wasukuma
 
Kweli hata Joh makini yule mwana hiphop mbongo kuna nyimbo yake moja anasema daraja mbili (Arusha) hakuna masoro. .keep it up mama Jenny (kayonza pharmacy)
 
Kweli hata Joh makini yule mwana hiphop mbongo kuna nyimbo yake moja anasema daraja mbili (Arusha) hakuna masoro. .keep it up mama Jenny (kayonza pharmacy)
Haahaa mkuu sijasikia hiyo nyimbo, ila JENY ni first born wa hiyo family.
 
Tajen matajir wenu mikoan koote lakin wakifika dar ni brek si kama wa dat wana pesa nyingi kuliko wao ila wa dar wanajua kupangilia na kutumia na isitoshe wana michongo mingi kuliko wa mokoani
 
Tajen matajir wenu mikoan koote lakin wakifika dar ni brek si kama wa dat wana pesa nyingi kuliko wao ila wa dar wanajua kupangilia na kutumia na isitoshe wana michongo mingi kuliko wa mokoani
Michongo mingi ipi?? Tender na udalali??
 
Tajen matajir wenu mikoan koote lakin wakifika dar ni brek si kama wa dat wana pesa nyingi kuliko wao ila wa dar wanajua kupangilia na kutumia na isitoshe wana michongo mingi kuliko wa mokoani
Michongo ipi huko Dar? ya kugeza watu MAPUNDA? halafu wanokuja kuharibika mzigo ukishushwa na punda ni ndugu na jamaa zao? Tajiri gani hana ofisi wala hajulikani anauza nini zaidi tu ya kuitwa "PAPAA", hakuna kitu huko uharibifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…