Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

matajiri wapo moro mkuu huko wana hela ya mbuzi tu
 
Ni baba ako mzazi. Hunijui...?? Niliondoka nyumban ukiwa mdogo, nikakuacha na mama yko kwenda kukutafutia maisha mwanangu.
Kumbe wewe ndo mzazi wangu vp kuhusu hayo maisha uliyoenda kuyatafuta ulishayapata mzaz
 
Huyo maneno ndo nan mkuu ana miliki nini na nini na ni kabila gan
Huyo maneno ni mgogo,anamiliki kampuni la usafirishaji long vehicles,,anapatkana karibia na veta dodoma kota za reli ndo yard yake ilipo,,ana scania zaid ya mia tatu ,yupo vizur....
 
Huyo maneno ni mgogo,anamiliki kampuni la usafirishaji long vehicles,,anapatkana karibia na veta dodoma kota za reli ndo yard yake ilipo,,ana scania zaid ya mia tatu ,yupo vizur....
Maneno ni ndugu zake kina damasi mallya,edmund mallya,yeye anaitwa felix mallya.na ni mchagga wa kibosho okaoni.nikusahihishe tuu dodoma hakuna mgogo anaeleweka kwa ela pale
 
Utabakia kusifia wenzako kuwa ni mabilionea jitume na ww uwe bilionea ili usifiwe usibakie kusifia tu watu ambao hata hawakujui kuwa unawasifia
 
Hao uliowataja kwa asili sio wa Dodoma hao wa kuja wote hapo, asili ya majina yao ni huko unakopakataa,. Huko Dodoma wamekuja kuchuma tuu.
Bora angemuweka Bilionea Le mutuz ndo mwenye asili ya Dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…