Mabibo! Mabibo! Mabibo.....

Mabibo! Mabibo! Mabibo.....

We Bishanga ........
tendo la ndoa nampa kila anapohitaji kuna shida kwani maana naona unantajataja
nawaona hivoo
 
Last edited by a moderator:
namtosheleza hadi vya ziada hivyo ni vijimambo tu havihusiani na mhogo wangu Bishanga
m
Hny kiwatengu kujifunza wanajifunza basi tu hawataki kuwa wazi ila ukweli ndo huo
 
Last edited by a moderator:
haaa! mkuu vipi
nilifikiri unazungumzia MABIBO sehemu ninayoishi kumbe
msimu wa mabibo kwenu, nenda kabangue uniletee moja
Wakuu!
Msimu wa korosho ndiyo huu hapa tena unaingia...
Kipindi cha heri, kipindi cha mavuno!!

Sasa mabibo ni full available...
Binafsi nayapenda sana mabibo, juice kwa sana!
Karibuni Kusini tule mabibo..

CC; THE BIG SHOW! EMT, MMAHE, Sizinga!
 
Kuna nini huko?au fumanizi safarii sikubali kukosa bora nigeuziwe kibao kuwa nimefumaniwa kuliko.kumis tukio

Hata mimi nikajua ndio lile fumanizi. ..kumbe watu wanaongelea tunda la korosho a.k.a bibo
 
Back
Top Bottom