namnani!?
yaani we mwanamke umbea utakuua, umemuacha mumeo kitandani waenda MMU kushuhudia fumanizi, ndio unarudi asubuhi hii kaaah.... Bishanga nakupa pole sana
Luv u 2,3,4......
wanapata more experience from..
Kiwatengu & shansarie..
Mwaaaaaaaaaaaaaaaah. Cc. ladydoctor
unaguna nini? just ask them..
mapenzi ya kukariri!!
btw pole kwa misukosuko!
Hii ndoa huwa haina misukosuko imesimama imara kama naniiiii.....