Isije ikawa ni mshindani wako kibiashara. Mimi nadhani kama ni tapeli hapo external kuna kituo cha polisi
Huyo jamaa noma ni tp balaa na pale kituoni wote rafiki zake
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.
anawatapel vipi?mbona umelalamika sana bila kusema mbinu anazotumia!!!
we unaona hapa kuna maelezo yanayo onesha kuwa anatapeli vipi!!!!Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.
Anawezaje kuwatapeli wasomi wetu hapo?. Bado haitoshi mkuu kuleta tu taarifa hapa, peleka hizi habari polisi makao makuu
we unaona hapa kuna maelezo yanayo onesha kuwa anatapeli vipi!!!!