Mabere Marando ni nani?

Pasco kwa mafumbo bwana uko vizuri sana!
 
Binafsi hupenda sana uchambuzi wa Pasco , maana huwa hauna bias zozote zaidi ya uhalisia. Japo wengi hum'beza kwa kutoendana na baadhi ya wayapendayo au wapendayo kuyasikia.
Kudos to you Pasco
Mie pia kuna wakati humvulia kofia huyu Pasco lakini haupiti muda mrefu anaweza kuja na hoja ya kufikirika hadi mtu unahisi labda kuna mtu ameiba pass word yake!
 
Kwan wewe pasco ni nani mbona wanishawishi kirahisi rahisi hv? vp naweza kukufamu live ????.......

Mtafute katika vipindi vya promo vya Shirika La Nyumba Tanzania na katika baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama mtangazaji kwenye baadhi ya vituo vya televisheni,ni mtu mwenye kichwa kizuri tangu Ilboru na baadaye kwa kuchelewa pale UDSM, ingawa alikuwa kijana mtundu sana!
 
Mkuu, Tamim hajawahi kupindua nchi ila alishiriki katika mpango ya kupindua nchi 1982 ila haukufanikiwa. Baadhi ya wenzie Tamimi walikuwa akina Rodric Roberts, Zakaria Hans Poppe na nduguye, Hamza Kadege, Banyikwa nk.
a.k.a S. A SEIF
 

mkuu unamaanisha pascal mayala?
 
Mwanasheria mkuu wa serikali mtarajiwa, atasimamia show za kuwafunga na kuwafilisi mafisadi............., mwanasheria mkongwe, jasusi mkongwe, ni product za udsm na wakina marehemu advocate maira
 

Sijawaig kuwa na shaka na maandishi yako mkuu, cdm bado iko low sehemu kubwa kukamata serikali. I wish ungeweka uzi ukalizungumzia hili ili watu waelewa wanakoelekea kwa wanaotaka na watakaopinga potezea.
 
Sijawaig kuwa na shaka na maandishi yako mkuu, cdm bado iko low sehemu kubwa kukamata serikali. I wish ungeweka uzi ukalizungumzia hili ili watu waelewa wanakoelekea kwa wanaotaka na watakaopinga potezea.

Aweke Uzi?Si ungeweka wewe halafu ukoleze kabisa na "Bonafide Genuine"?
 
may be historia ya kanchi kangu imenipiga kando.ilikuwaje hadi leo hii hawa mahaini wapo uraiani wanadunda?au ulipita msamaha wa Rais?
Huyu si ndiyo alikuwa anachampion mgomo wa mafuta? Ama hakika hakushughulikiwa ipasavyo, natumai asingekuwa na jeuri hii. Anavyoongea tu anaonekana ni MKOROFI sana na anajeuri ya FEDHA tena nina imani ni CHAFU labda hata alizopewa kuasisi mapinduzi hayo yaliyofail. Watu wa usalama na Intelijensia ya Taifa mumchunguze huyu mtu anaweza kuwa behind something
 
Inawezekana, make kama ametaja namba zote, lakini mpaka leo sijasikia mtu akitishia kwenda mahakamani. Riz1 alimtishiaka Slaa kwamba asipothibitisha yeye (riz) ni bilionea atamburuza mahakamani, kwenye hii naona hajasikia bado.
Hapo ndio pa kuanza kujiuliza,Mwanahalisi limemtaja Rama MLA VICHWA VYA MAITI limefungiwa mpaka KIAMA,Tanzania Daima limemwaga kila kitu lakini marando ndio kwanza akula bata town!
 
Hivi kwa akili yako unafikiri hawa jamaa wa masuti meusi wakitaka kitu pale CDM wanakosa?Hakuna kitu wanaachokosa pale CDM,wanapata kila kitu,nani alikuwa anajua ludovick anatumika?kaa ukijua kuwa pale ndani ya CDM kuna watu wanamahusaino mazuri tu na hawa jamaa wa makoti meusi,haiwezekani kwa taasisi kubwa kama ile ikose watu wa kuwapa taarifa za nini kinaendelea hasa kwenye Chama kikubwa kama CHADEMA,tatizo lao ni moja tu,kuwa sehemu ya magamba,kuchukua taarifa za CDM na kuwapa Magamba hilo ndio kosa,au kuwasaidia Magamba kuwamaliza CDM hapo ndipo wanapokosea,lakini hii inatokana na ushabiki na kulipa fadhila za vyeo na marupurupu wanayopata kutoka kwa magamba,njaa hizi na tamaa zinawafanya waache miiko ya kazi na wakosi kujiamini kwa kusema hiki fanyeni wenyewe (magamba) na hiki wafanye wao kama kina maslahi kwa taifa.lakini kaa ukijua hakuna kitu wasichokijua hawa jamaa,na wana watu wanashirikiana nao vizuri tu,na pia si kitu kibaya,taasisi kama ile lazima ijue,isipojua basi inakuwa imeshindwa kazi!
 
CDM fanyeni kazi,hata huyo Pasco anamumunya tu maneno,hakuna mtu anaejua utendaji wa hawa jamaa,woote tuna bahatisha tu story za hapa na pale,kikubwa huwezi kukimbia watu wa system maana "HATA MKEO ANAWEZA AKAWA NI ARGENT WA SYSTM NA USIJUE"kuwa makini endelea kuipenda CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Pasco kamaliza ......Mi naamini vyama vya upinzani vimekuwa vinashinda chaguzi zote esp 1995 na 2010 lakini hawa watu wa system hawawezi kukabidhi nchi kwa watu wasiowakubali .......na kwa hili marando ni muhimu .........
 

uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 

Haaa haaa....mbona 'vetting' ilisema 'No Malaika' lakini ikawa.....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…