Mabere Marando ni nani?

Acheni kuchunguza chunguza watu. Cha msingi kuheshimu katiba ya nchi na ya chama. Hayo mengine mambo binafsi...
 


Marando hakuwahi kurudi CCM
 
Tuwasubiri wajuzi natamani angekuwepo mwenyewe Mabere humu jamvini ili ayajibu haya maswali
 
Mkuu Pasco hebu njoo utusaidie habari za huyu comrade, ni mambo ya msingi sana kuyajua kama wadadisi.
 
Last edited by a moderator:
may be historia ya kanchi kangu imenipiga kando.ilikuwaje hadi leo hii hawa mahaini wapo uraiani wanadunda?au ulipita msamaha wa Rais?
mimi nakumbuka kipindi nko kinda kuona magazeti yalikua yakifuatilia kesi ya uhaini wa mwaka 1982..Hans pope na macghee ni majina yaliyostick kwenye mind lakini sikujua kuwa ndo huyo zakaria hans pope.

Nafahamu wapo waliofungwa,walioachwa huru na wengine waliachiwa kwa msamaha wa rais.
 
Inawezekana, make kama ametaja namba zote, lakini mpaka leo sijasikia mtu akitishia kwenda mahakamani. Riz1 alimtishiaka Slaa kwamba asipothibitisha yeye (riz) ni bilionea atamburuza mahakamani, kwenye hii naona hajasikia bado.
 
Mkuu Pasco hebu njoo utusaidie habari za huyu comrade, ni mambo ya msingi sana kuyajua kama wadadisi.

1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.

3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.

5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia kwenye kile chuo cha ujasusi alichosomea.

7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ni permanent!, ndio wenyewe!.

NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, yaani by voting, bali hukabidhiwa by vetting!.

Na mnaodhania ni Marando peke yake ndio mtu wa Tiss ndani ya Chadema, mjijue hamjui chochote kuhusu siasa za kweli za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.

Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua kuwa "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kujifurahisha tuu na kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.
 


Ni mchana sasa mkuu. Au hangover za wkiend?
 
 
Last edited by a moderator:

THE UNDERLINED ARE THE EXISTING FACTS

Ref: George W. Bush vs Al-Gore in the United States of America, presidential race!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…