Mabere Marando atatuambia nini...
1.HUyu mtu alihusika moja moja na kama mnakumbuka ile ambush ya kumteka Comandoo Tamin na ndio inadaiwa alifyatua risasi iliyomuua Comandoo Tamin pale kinondoni
2 Huyu ndio alikuwa anahusika na utesaji watu kule kisiwa mafia.....moja ya watu waliteswa ni wakina Yasin memba ..
3.Si ndio huyu huyu marando aliekuwa anawatesa wakina Hatibu Gandi na wenzake kwenye ile kesi ya uhaini? Kama mnakumbuka walikuwa wakimtumia Yule drive teksi(mnamjua derive teksi alikuwa nani?)
Huyu Marando ni mpinzani wa kweli???? Marando najua upo kazini TISS na yeye ndie mwalimu wa wakina Mrema......Mrema alikuwa na torture house kule Mugumu alipokuwa District Security Officer
Wapinzani walikuwa wakina Cristopher Kasanga Tumbo ambae mwalimu alimpa kifungo kibaya maishani cha kummweka chini ya ulinzi kijijini kwao Tabora...
[B said:T 726 AQB[/B];1102460]
Mkuu uko juu, hii lazima itakuwa benzi ama zile V-100 kama zile za Ikulu
ndio maana mi naangaliaga weee hawa wanojiita wapinzania nacheka mwenyewe......afu sasa mitanzania ndio mijinga.....
filthMabere Marando atatuambia nini...
1.HUyu mtu alihusika moja moja na kama mnakumbuka ile ambush ya kumteka Comandoo Tamin na ndio inadaiwa alifyatua risasi iliyomuua Comandoo Tamin pale kinondoni
2 Huyu ndio alikuwa anahusika na utesaji watu kule kisiwa mafia.....moja ya watu waliteswa ni wakina Yasin memba …..
3.Si ndio huyu huyu marando aliekuwa anawatesa wakina Hatibu Gandi na wenzake kwenye ile kesi ya uhaini? Kama mnakumbuka walikuwa wakimtumia Yule drive teksi(mnamjua derive teksi alikuwa nani?)
Huyu Marando ni mpinzani wa kweli???? Marando najua upo kazini TISS na yeye ndie mwalimu wa wakina Mrema......Mrema alikuwa na torture house kule Mugumu alipokuwa District Security Officer
Wapinzani walikuwa wakina Cristopher Kasanga Tumbo ambae mwalimu alimpa kifungo kibaya maishani cha kummweka chini ya ulinzi kijijini kwao Tabora...
Mkuu MKANDARA, hawa watanzania wenzetu wametumwa kununua misukule zaidi kwa longolongo zao.Ama kweli JF imeingiliwa....Na hakika tunahitaji sana ukombozi wa fikra na ELIMU..
Hivi inatakiwa mtu awe mhaini ndio anakuwa Mpinzani?..
YO YOMabere Marando atatuambia nini...