Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa


Ndugu yangu, Mabeberu ni Watanzania waliokabidhiwa nchi/madaraka na kuishia kufisidi viwanda vyote alivyotuachia baba wa taifa, walifisidi mashirika yote ya umma na kujigawia nyumba zote za serikali na mashirika ya umma! Mabeberu ni Watanzania waliopitisha mikataba ya kifisadi na siyo Wazungu au Wamarekani!! Please wake up and simply ooze out the truth and ashame the devil. Period.
 
Ndio hao wamebanwa sasa Mabeberu ya Ndani na ya nje hayapumui
 
We jidanganye tu. Ina maana hujasikia kwamba kabendera amerudi uraiani kwa kulipa mamilioni ya shilingi? Kwa mapenzi yako utaamini kwamba kabendera amelipa, wakati amekiri kwamba msiba wa mama yake hakuna hata ndugu aliyekuwa na hela na ikabidi marafiki na wanao mpenda kabendera wachangishane ndio mama akazikwa. Kwa taharifa mabeberu huwa hawatanii wakikuamulia utanyooka tu.
 
Umejijibu hahahahahahah dah Huwa una ID ngapi mkuu hahahahahahahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuunga mkono comrade

Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani

Wazungu wameanza kushiwa maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anakwazwa na lugha ya kingereza pamoja na PhD feki hawezi kwenda kwenye international forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…