Mabeberu wanavyotuchukulia kwenye suala la Corona

Mabeberu wanavyotuchukulia kwenye suala la Corona

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,312
Dw wametoa katuni ambayo kimsingi binafsi nimeshindwa kuelewa ujumbe uliopo.
Karibuni wajuzi wa habari picha mtujuze maana elimu haina mwisho.​

Screenshot_20210219-150633.jpg
 
Ni ujinga kusubiri kuambiwa wakati ukiwa na macho timamu kabisa! Na hakuna kiongozi aliyekanusha kuwa haupo, bali wanachokisisitiza ni kupambana nao kwa jitihada na mbinu zetu kwa kuzingatia hali halisi na mazingira yetu, huku tukimtanguliza Mwenyezi Mungu.

Lakini kwa wale wanaodhani kutaja takwimu, na lock down ndio tiba watasubiri sanaaa! Kwani hata huko wanakoshuparia mambo hayo, hawajasalimika!
 
Ndiyo maana mnapukutika kwa kutetea ujinga
 
Kama ambavyo huwa napuuza comments zako humu. Halijakukuta, naomba Mungu kwa kufunga na kusali ndani ya siku saba kuanzia leo upatwe na kifo cha mtu wako wa karibu. RIP my Brother[emoji24][emoji24].
Mungu hadhihakiwi.
 
Mafua ya kubana wanasema corona,kweli mabeberu hawana wema na sisi.
 
Maombi mengi, nguvu nyingi na tahadhari kwa sana hao dw wabaki na corona yao huko huko wasitutishe.
 
Back
Top Bottom