Ndiyo maana mnapukutika kwa kutetea ujingaNi ujinga kusubiri kuambiwa wakati ukiwa na macho timamu kabisa! Na hakuna kiongozi aliyekanusha kuwa haupo, bali wanachokisisitiza ni kupambana nao kwa jitihada na mbinu zetu kwa kuzingatia hali halisi na mazingira yetu, huku tukimtanguliza Mwenyezi Mungu.
Lakini kwa wale wanaodhani kutaja takwimu, na lock down ndio tiba watasubiri sanaaa! Kwani hata huko wanakoshuparia mambo hayo, hawajasalimika!
Kumbe yafaa nae apuuzwe tuKama wanavyo kupuuza wewe
Kama ambavyo huwa napuuza comments zako humu. Halijakukuta, naomba Mungu kwa kufunga na kusali ndani ya siku saba kuanzia leo upatwe na kifo cha mtu wako wa karibu. RIP my Brother[emoji24][emoji24].Hao DW ni wa kupuuzwa tu
Mungu hadhihakiwi.Kama ambavyo huwa napuuza comments zako humu. Halijakukuta, naomba Mungu kwa kufunga na kusali ndani ya siku saba kuanzia leo upatwe na kifo cha mtu wako wa karibu. RIP my Brother[emoji24][emoji24].
Sawa.Mungu hadhihakiwi.
Bado zamu yakoNdiyo maana mnapukutika kwa kutetea ujinga
Hata huko wanakufa na mmoja wapo tunaombea uwe wewePole sana huku niliko wenzenu wanajali na kila siku wanatoa updates
kumbe tukupuuze tuKumbe yafaa nae apuuzwe tu
Ni kweli hao ni wakuupuzwa tu yani wanalazimisha corona iwepo tu Tanzania.Hao DW ni wa kupuuzwa tu