Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Mabeberu ni sawa na maksai wa kimasai!!
Leo nimecheka sana , haaaa haaaaaMimi nikikutana na beberu navunja pua lake. Nimelisha sana mbuzi. Nakumbuka tabia moja ya beberu ni kunusa nyeti za wenzake na kubugia mkojo wake. Sijajua hawa mabeberu wanaoimendea TZ wana tabia zipi kati ya hizi mbili.
Haaaa haaaa ,JF bwana , yaani kama una stress wewe njoo huku lazima zitaisha tu.Hayaaaaa!!!!!Umekosea mkuu.Ungeonja angalau tonge moja la "broccoli"!Utawekewa vikwazo!
Tengeneza kwanza smart miti ya kuingilia JF tutakuamini
Kumbe binadamu tunaweza kuwachamba mabeberu😇😇
Kumbe binadamu tunaweza kuwachamba mabeberu![]()
Watakuwa mabeberu aina ya 'mbudhi'Mabeberu mbuzi au? Be specific.
Je? uliwaambia kuwa tumehamishia kwenye bank zao tril1.5. ambazo vitabu ya Dotto James havionyeshi zilipo??Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.
(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.
(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.
(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.
(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.
Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.
(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.
(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.
(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.
(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.
Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app

hahahah 😀! Je ulitembea kifua mbere wakati unaondoka ?Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.
(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.
(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.
(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.
(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.
Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii "D" unamaanisha nini?hahahah 😀! Je ulitembea kifua mbere wakati unaondoka ?
Shida kubwa ya mabeberu ni kuwa yakiamua tu, mbuzi jike lazima azae.N
Nimechekaaaaaaaaaa daàaaaaaa kweli mabeberu noooomaaa
Mbarika.Mbuzi jike anaitwaje?