The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
- Thread starter
- #41
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.
(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.
(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.
(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.
(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.
Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo umeenda O.PManeno ya kike kike hayo
Kwani hivyo vibeberu vikoje maanake mie wenyewe ni kibeberu. Hivi vijike kwa kulalamika lakini haijalishi ni kawaida yao kwa kuwa tunapiga ile iliyosimama mbele hivi vingine ni wivu tu wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
SoPUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST THREAD TO OPPOSE EVERYTHING DONE BY TZ GOVERNMENT UNDER JPM'S LEADERSHIP STYLE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi unafiki.Unafiki uliotumika hapa ni wa kiwango cha juu kabisa kuwai kushuhudiwa karne ya 21.
Hivi na wewe ni great thinker?!? Au umesoma tittle ukambilia kukoment?!!? Unfortunately enough naona kuna matumbafu flani hivi yamekupa likes.Haya ni matokeo ya siasa za awamu hii..haohao wanawapa misaada then mnawatukana..wakikata misaada sijui mtaishije
Akili ni mali.
Ugiligili
Daaahhhh manengelo unaona thread ya mabeberu halafu unashindwa hata kunishtua kweli ndugu yangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa haaaa, JF bwana.Daaahhhh manengelo unaona thread ya mabeberu halafu unashindwa hata kunishtua kweli ndugu yangu?
Mi nisichoyapendea mabeberu ile harufu yao na tabia ya kunusanusa tu makalio ya wenzao.
Money hivi kweli ukipata zee la beberu lenye mahela yake likawa na mpango wa kukupeleka ulaya utakataa?
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Wakikataa kuwapa msaada kwenye dawa za ukimwi mtatoka kweli?Haya ni matokeo ya siasa za awamu hii..haohao wanawapa misaada then mnawatukana..wakikata misaada sijui mtaishije
Akili ni mali.
Ugiligili
Daaahhhh manengelo unaona thread ya mabeberu halafu unashindwa hata kunishtua kweli ndugu yangu?
Mi nisichoyapendea mabeberu ile harufu yao na tabia ya kunusanusa tu makalio ya wenzao.
Money hivi kweli ukipata zee la beberu lenye mahela yake likawa na mpango wa kukupeleka ulaya utakataa?
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Usipende kutembea na mabeberu mkuuJana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.
(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.
(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.
(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.
(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.
Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona ninalo mkuu lipo kilosa huko.nlichunga hatar..next yr nalichinja[emoji4][emoji4][emoji4]naamini litatoa kilo nyingi tule xmas2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga kabisaaaa ila nilichunge vzr hua hayachelewi kukunusa kunapo masaburi
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk[/QU😂😂😂yanapenda kunusa wanaume..bas km ndo mfno huo yanataka sana mnusa namba 1
shauri yako...we cheka cheka yaje na kwako yaanze intelijeñsia zao🙈[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mimi ni mzalendo hua sinaga urafiki kabisaaaa na mabeberushauri yako...we cheka cheka yaje na kwako yaanze intelijeñsia zao[emoji85]