Mabeberu wamenikaribisha chakula nikakataa

Mimi sio "akili kubwa",ila nimekuelewa.

Mimi sio "great thinker", ila nimekuelewa.

Mimi ni "great sinker", ila nimekuelewa.
 
Nimekusoma mkuu. Hahaha umewakilisha ujumbe ki stlye kabisa
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.

(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.

(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.

(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.

(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.

Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mpaka vibeberu kukukaribisha chakula inaonyesha nina gani wewe kimbuzi jike ulivyonona na ungekula nawe ungeliwa
Jamani WaTanzania wenzangu tuwache kujidhalilisha kwa kuwaita mabeberu wanaotupa misaada na ni wafadhili ni wahisani wachangiaji maendeleo yetu.
Kama wao ni mabeberu na Sisi ni mbuzi jike???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ungechota na maji ya mtaroni uwamwagie kabisa!! Walaaniwe mabeberu wote na vibaraka zao!!
Maneno ya kike kike hayo
Kwani hivyo vibeberu vikoje maanake mie wenyewe ni kibeberu. Hivi vijike kwa kulalamika lakini haijalishi ni kawaida yao kwa kuwa tunapiga ile iliyosimama mbele hivi vingine ni wivu tu wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.

(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.

(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.

(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.

(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.

Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Beberu mdogo katika ubora wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo msema kweli na mpenzi wako ni mungu
We are donor country bana wasitutishe na misaada yao ya mpka tulambane nyuma wakati Akina amber rutty ni wazungu cyo wa bongo karbu tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nikiwa katika matembezi yangu ya kawaida nilikutana na mabeberu wakiwa wamekaa mahali wanakula chakula. Niliwasalimia kwa kiswahili wakaitikia kwa kiswahili chao kibovu huku wakitabasamu . Beberu mmoja akanikalibisha chakula nikakataa , na nikaona hii ndo fursa pekee yakuwambia ukweli hawa mabeberu kuhusu uchochezi wao juu ya mambo yetu ya ndani . Sikuwaficha nikawaeleza yafuatayo.

(1) Kwanza wasitutishe na misaada yao sisi ni matajiri sana tunao uwezo wa kujitegemea bila kuwategemea wao na siyo mda mrefu ujao tutaanza kuwapa misaada wao.

(2) Pili sisi ni watakatifu sana huwa hatutendi dhambi , kwa hiyo tukimuona mtu anafanya mapenzi ya njinsia moja tunamfaninisha na shetani au tukisikia binti amepata ujauzito akiwa shule huyu sasa naye akafie mbali , maana sisi ni wacha Mungu, hatufanyi dhambi kabisa kwa hiyo hatuwezi kuchangamana na watu wenye dhambi.

(3) Tatu sisi bwana tuna Uhuru mkubwa wa kutoa maoni yetu , isipokuwa tu maoni hayo yawe yale yanayopendwa na wakubwa hii ni kwa sababu Mungu ametujalia viongozi watakatifu huwa hawana makosa kabisa, ni watu waliojaliwa busara ya ajabu sana hata mfalme Sulemani haoni ndani , kwa hiyo nyinyi mabeberu mtuache.

(4) La nne nililowambia hawa mabeberu ni kuwa haki zote za binadamu hapa kwetu zinazingatiwa sana , isipokuwa tu isiitumie hiyo haki yako kukosoa viongozi maana wao ni wapakwa mafuta . Haki ya kujumuika ipo kabisa Ila isijadili siasa , kama mnajadili mpira hiyo haina shida. Kama mnafanya ibada haina shida kabisa.

Nimewaeleza mengi sana hawa mabeberu , wote wakokosa hoja za kunijibu na ni kweli hawana hoja . Niliamua kuondoka nikikataa chakula chao maana Mimi ni mzalendo siwezi kula na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
PUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST THREAD TO OPPOSE EVERYTHING DONE BY TZ GOVERNMENT UNDER JPM'S LEADERSHIP STYLE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom