Mabati ya migongo mipana IT trough

Mabati ya migongo mipana IT trough

Ebu nielimisheni nijuavyo Ando wanatengeneza/supply roofing tiles na ALAF roofing sheets je kuna tofauti na haya?
na mtoa mada nazani anataka bati na si vigae
Kuezeka vigae lazima uwe na mhamala wa maana sana ila kwa Mtz wa kawaida ni issue
 
Bati zote za rangi zinapauka . Kiboko anatumia material tofauti na ya ALAF.
Jaribu Ando Tiles (siyo zile sand blasted), Ando na ALAF wanasource kutoka same supplier na bei zake ni nafuu. Ando wako prompt kwenye kusupply material.

Hapo kwenye red mhhh. Nimenunua Alaf tangu 2006 na nikapaua (April 2006) mpaka leo rangi ni kama nimepaua jana. Bati za ALAF ni nzuri tatizo bei zake-ziko juu sana.
 
Wakuu hivi nyumba ya vyumba vitano kwa vigae standard inaweza cost kiasi gani!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom