Mwenzako jitihada zangu ziliishia hapa: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/389171-alaf.html
Jaribu KIBOKO lakini products za ALAF ni bora.
cheap is expensive bora ujipange upate kitu bora, ALAF imezidiwa kidogo na Ando kwa bei na ubora ila ukitaka bei ya chini maana itabidi uingie gharama ya kupaka rangi tena au kuvumilia mpauko.
cheap is expensive bora ujipange upate kitu bora, ALAF imezidiwa kidogo na Ando kwa bei na ubora ila ukitaka bei ya chini maana itabidi uingie gharama ya kupaka rangi tena au kuvumilia mpauko.
Bati zote za rangi zinapauka . Kiboko anatumia material tofauti na ya ALAF.
Jaribu Ando Tiles (siyo zile sand blasted), Ando na ALAF wanasource kutoka same supplier na bei zake ni nafuu. Ando wako prompt kwenye kusupply material.
kuna wachina wapo vingunguti bei zao poa balaa!!jaribu ukawaone wao pia maana waweza ongea hata vat usilipe
kuna wachina wapo vingunguti bei zao poa balaa!!jaribu ukawaone wao pia maana waweza ongea hata vat usilipe
suala la ubor aweka pembeni maana haya mabati yaliyo decorated ni mapya hapa tanzania hakuna nyumba yenye 30yrs iliyojengwa na hayo mabati tukajua ubora wake!paa bora ni la vigae vya udongo tuuu vilianza kutumika karne ya 18 mpaka leo nyumba zipoUbora wake ukoje?
kuna wachina wapo vingunguti bei zao poa balaa!!jaribu ukawaone wao pia maana waweza ongea hata vat usilipe
Ando kiwanda chao kiko wapi?
Mkuu mimi natafuta Ando hivi Alaf wanaproduce na Ando? zinapatikana wapi kwa bei nzuri? bei zake zinaendaje?