Naomba kujuzwa bei nafuu za mabati na mahali yanapopatikana

Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,046
2,131
Habar za leo wakuu natumai mko poa sana...

Kama kichwa cha habar kinavojieleza naomba kujua wapi nitapa mabati haya ya kawaida haya ya migongo midogo lakini yenye rangi hata yasiyo na rangi ili nifanye uchaguzi kutokana na mfuko ulivo maana nmejaribu kuangalia kwenye page mbali mbali za wauzaji naona ni ghali sana ila nikaona humu kuna watu wa kila aina wengine ni wauzaji, watengenezaji, mafundi na wengine wamesha jenga kwa hiyo ni mahali sahihi na pazuri kupata ushauri na maelezekezo kwa wazoefu ni kiwanda kipi au muuzaji yupi ni nafuu kuliko wengine .

Kuna mabati ya geji tofauti tofaut ila mi ningejua ya geji 30 ma 32 yale ya futi 10 au mita 3 yenye rangi na yasiyo na rangi, bundle moja yanakaa mangapi na kwa sh ngapi .. Nmeona kwa alaf yuko juu sana aisee Karibuni sana kwa michango.
images%20(8).jpeg
images%20(10).jpeg
Screenshot_20190808-160153.jpeg
IMG-20190808-WA0026.jpeg
 
Mkuu uko mkoa gani na unataka ya kuuza au maana mabati ambayo ni geji 32 na geji 30 tena corrugated ya migongo midogo hayana ubora kama geji 28 na bei ya 28 imechangamka kidogo.
Uza kilicho bora chagua bora.
Mabati ya IT4, IT5 na maxcover yote ni ghali kuliko corrugated ya kawaida
 
Kwani lazma kuchangia .
Ok bati sasa hivi zimepanda bei.
Bati nyeupe zinauzwa 270,000.kwa bando ambazo zinakaa pcs 16.ukigawanya hapo unapata elfu 16 na kitu Kwa bati moja.
Hyo ni kampuni ya kiboko imara.

Zile za rangi bati moja linauzwa elfu 20.
Hyo ni bei ya jumla
Hamuoni huu uzi au ni dharau!!??
 
Kwani lazma kuchangia .
Ok bati sasa hivi zimepanda bei.
Bati nyeupe zinauzwa 270,000.kwa bando ambazo zinakaa pcs 16.ukigawanya hapo unapata elfu 16 na kitu Kwa bati moja.
Hyo ni kampuni ya kiboko imara.

Zile za rangi bati moja linauzwa elfu 20.
Hyo ni bei ya jumla
Hizo za rangi kwa bei hiyo ya 20,000 nani msambazaji au miuuzaji ???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom