Mabati ya ALAF yako overated sana

Mabati ya ALAF yako overated sana

Kwa utafiti wangu mdogo nimeona watanzania tunapigwa na wauza mabati ya ALAF kwa kuaminishwa kua yako special sana kuliko mabati mengine.

Haya mabati tunapigwa, hayana ubora wa kipekee kuliko mabati mengine, hayana utofauti wowote.

Kwa kweli sijaona chochote cha ziada kwenye hayo mabati. Usiwe draged na majority, hayana upekee wowote.

Wewe unashauri tutumie mabati yapi?
 
Unataka watangaze kuya underate? Hiyo itakuwa sio biashara sasa!!
 
Yeah nilichogundua ni hiko kwa mleta mada hajawahi kujenga ina maana hayajui vizuri hayo mabati,pamoja na kwamba wana promotion kubwa hata mabati yao ni mazuri mno huwezi linganisha na mengine hapa Tz

Halafu si ajabu kapigwa. Si unajua wafanyabiashara wa bongo wasivyo na huruma? Walimdanganya kuwa kitu ALAF hicho kumbe "mchina". Ikala kwakwe, sasa bila utafiti anakuja kuwasha moto hapa.
 
Yeah bila shaka atakuwa kapigwa huyo!
Halafu si ajabu kapigwa. Si unajua wafanyabiashara wa bongo wasivyo na huruma? Walimdanganya kuwa kitu ALAF hicho kumbe "mchina". Ikala kwakwe, sasa bila utafiti anakuja kuwasha moto hapa.
 
Tuache tujilipue nayo tutoe ajira kwa wa Tz wenzetu.... endelea kuezeka na Zhongtong tu haina shida.... ni kama unavyonunua simu ya kina jekcheni wengine wananunua mzigo wa mzee Jobs au Samsung...utaelewa tu.
 
Zinakaa bati ngapi!?

Hapana mkuu, kwa kulinganisha, ALAF wapo vizuri. Kuhusu bei, kuna mambo mawili kwa uoni wangu, mosi, gharama za uzalishaji bongo zipo juu na pili, yawezekana pakawa na hila za wafanyabiashara pia. Aidha, ALAF inawabidi wawe na bidhaa nzuri, bila ya hivyo kiwanda kitafungwa, maana mabati ya kichina ya bei nafuu yamejaa sokoni.
 
Kuna njia nyingi sana zakufanya utafiti,kwakifupi jamaa amefikia hatua yakuezeka sasa kwastory anazozipata kila mmoja anasifia ALAF kwaiyo yy amekuja kivingine ili apate uhakika zaid ya anachokisikia mtaani ili aweze kuchukua maamuz sahihi. Big up mkuu you're great thinker
Ukiuliza bati nzuri ni ipi watu Huwa hawajibu so Bora kuuliza kisomi
 
Sijaona pahala mleta mada ameonyesha kwwamba ameyatumia au labda kama amesahau kueleza, feedback ambayo ni relevant na reliable itokane na kitoridhishwa kwa bidhaa, mie nimeezeka kwa kutumia Alaf gage 30 migongo mpana, bado sijaona tatizo lolote achilia mbali kupauka! Zaidi ni wanaonifuata kuuliza juu ya upatikanaji wake. Mnyonge mnyongeni, haki yake moeni.
Upo Mkoa gani? Hivi hii g30 Kwa Hali ya hewa ya Dar vipi yanamudu kweli?
 
MUTTAZ naomba nikuulize swali kwa maelezo yako hapo juu, na jibu lake ni muhimu sana kwangu...

Kwaio inawezekana ukaenda kiwandani kuomba wakutengenezee bati za ukubwa(nikimaanisha upana na urefu) uutakao wewe tofauti na hivi viwango vilivyozoelekaa?

Yaani una nyumbn yako hutaki bati zikatwe katwe mi naona inaharibu hata muonekano, kwaio unachukua vipimo vya paa then unawapa wanakutengenezea bati zainazo ingia net bila kukatwa upana wala urefu hasa zikiwa zinakaribia mwishoni huku ambako nyingi huingia kipande?

Sijui umenielewaa???
Au yyt mwenye uelewa wa hili anisaidie...
 
Sidhani kama wana mashine za specifications hizo lkn pia inawezekana mbona kwny viwanda vya magodoro ukienda hata unataka godoro la 9 kwa 9 wanakutengenezea fresh tu.
MUTTAZ naomba nikuulize swali kwa maelezo yako hapo juu, na jibu lake ni muhimu sana kwangu...

Kwaio inawezekana ukaenda kiwandani kuomba wakutengenezee bati za ukubwa(nikimaanisha upana na urefu) uutakao wewe tofauti na hivi viwango vilivyozoelekaa?

Yaani una nyumbn yako hutaki bati zikatwe katwe, kwaio unachukua vipimo vya paa then unawapa wanakutengenezea bati zainazo ingia net bila kukatwa upana wala urefu hasa zikiwa zinakaribia mwishoni huku ambako nyingi huingia kipande?
 
Sidhani kama wana mashine za specifications hizo lkn pia inawezekana mbona kwny viwanda vya magodoro ukienda hata unataka godoro la 9 kwa 9 wanakutengenezea fresh tu.
Asantee umenipa kitu kipya ambacho pia nilitamani kujuaa...

Hiki kitu kuna kipndi niliwaza ila nika hitimisha kuhisi haiwezekaniii....

Km godoro inawezekana basi kitanda ni simple tuu...
Mm kwa kweli vitanda vingi nakusa mbao kote kote kutokana na urefuu....
 
Yanalingana ubora hata mafundi huwa wanashauri ALAF na SUNSHARE.

Hata bei zao hazijapishana sana.

Kuna mtu juzi kanunua migongo mipana alienda kiwandani ALAF hawakua na rangi ya GREY ikabidi aende SUNSHARE cha kushangaza bei ya ALAF ilikua pungufu kidogo...so nadhani zina ubora sawa
Mkuu kule viwandani nilichojifunza Kuna bei ya mteja wa kawaida na bei ya wakala.Kwa mfano Mabati ya Resincot rangi gauge 30 kwa bando kiwandani ni 461200 na haipungui lkn mawakala wanauza mpaka 450000 kwa bando.Hivyohivyo Sunshare Kuna jamaa alisema yupo kiwandani alinitajia bei kubwa tu na alisema nikifika kiwandani nitamkuta.Nilivyoenda kwa Wakala nikakuta bei ipo chini.Nikamuuliza fundi haya mambo yanakuaje.Akasema viwandani Kuna madalali tu wanajifanya watu wa kiwanda kumbe ni madalali tu wa kushinda getini na kuvizia wateja wapate cha juu
 
Kuna njia nyingi sana zakufanya utafiti,kwakifupi jamaa amefikia hatua yakuezeka sasa kwastory anazozipata kila mmoja anasifia ALAF kwaiyo yy amekuja kivingine ili apate uhakika zaid ya anachokisikia mtaani ili aweze kuchukua maamuz sahihi. Big up mkuu you're great thinker
Ata mimi ni mnufaika eti...
 
Sidhani kama wana mashine za specifications hizo lkn pia inawezekana mbona kwny viwanda vya magodoro ukienda hata unataka godoro la 9 kwa 9 wanakutengenezea fresh tu.
hapa bongo sijui kama kuna mahali wanatengeneza roller za bati, kwa sababu viwanda vyetu vya bongo wanachofanya ni kuzi-shape zile roller za bati toka ughaibuni kwa kuziingiza kwenye mashine kulingana na Gage zao na kuzikata kulingana na size,suala la material na rangi ni huko ilikotoka
 
Tanzania hakuna maabara huru inayotoa ripoti yakinifu za ubora wa bidhaa mbalimbali baada ya kufanyia utafiti?
 
Embu leteni variaties ya bati na garama zake. Binafsi natafakari ains gani za bati nikayotumia kuezekea lakin unafuu wa bei kuzingatiwa
Hawakuji hao....bei zimekua siri sana
 
Tatizo siyo ALAF, tatizo ni hayo makampuni. Mengine yameshindwa kufanya marketing ya bidhaa zao

Hivyo kupelekea mlaji kuamini ALAF is the best
 
Back
Top Bottom