gijos
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,183
- 1,831
We can use markerpenStori bila picha ni sawa na shule bila chaki
We can use markerpenStori bila picha ni sawa na shule bila chaki
Haya bhana😀We can use markerpen
Bando moja bati 16?Ni matangazo tu ya biashara.na ndo yanaongoza kwa bei.bando moja la ft 10.=280, 000
Bando ilikua bei gani, na bati ngapiNimeezekea versetile rangi Chacoal grey
Mkuuu umemaliza kila kitu, anakuja na stori za vijiwe vya kahawa anataka tumwamini.we!!we!!! labda hujawahi kujenga, na kama hujawahi kujenga hujatembelea kwenye majengo ya watu ukaona jinsi mabati ya kampuni nyingine yalivyopauka kama ngozi ya kenge? asikudanganye mtu kwa bongo bati ni ALAF tu
Si kweli ndugu angalia mabati ya kampuni zingine yanavyo pauka paa linakuwa na mabakamabaka ndani ya mwaka mmoja tu.
Wapo vizuri japo sidhani kama wanafika level ya ALAF. Ikipita miaka mitatu nitajua kama wapo sawa au vipi, ni mwaka wa pili na sijaona tatizo kwenye ubora wao.Jaman vp kuhusu SUNSHARE nayo je yanalingana na ALAF????
Vitu vingi mkuu vipo over rated yaan mpaka unashangaa sifa zote zile kumbe hali halisi ndio hii? Papuchi ipo over rated Simba SC ipo over rate n.k n.k
Bati kuzungushwa mbali mrefu siyo issue, ni suala LA Technology mkuu.Binafsi mm nalikubali bati la ALAF na ndilo nililoezekea nyumba na nilienda kuchukuwa kiwandani kwa vipimo nilivyokuwa navihitaji, asikwambie mtu bati lina miaka minne kasoro lakini utaliona chafu kipindi cha kiangazi kama lina vumbi hivi sasa ngoja mvua inyeshe utadhani ngozi ya nyoka mweusi🙂🙂🙂 Nimeezekea versetile rangi Chacoal grey! Nilipata na wasaa wa kuingia kiwandani asikwambie mtu material yanavyobadilishwa kuwa bati ni hatari na sheet inazungushwa umbali mrefu kabla ya kuanza kukatwa na mbaya zaidi nikaambiwa hicho kiwanda kilikuwa cha serikali enzi za Nyerere!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nikahuzunika.
Inategemea 'sheet' ya bati ambayo inakuwa kwenye 'roller' wamechukulia nchi gani;India,china ,Africa kusini n.k hawa wenye viwanda wanachokifanya ni kuweka mikunjo na kukata saizi wanayotaka.kuhusu rangi,uimara n.k inategemea huko nje walikochukulia hizo 'sheet'Si kweli ndugu angalia mabati ya kampuni zingine yanavyo pauka paa linakuwa na mabakamabaka ndani ya mwaka mmoja tu.