KERO Mabasi ya kichina ni matakataka. Sijui TBS iko wapi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
We mtako nimepanda huu uchafu baada ya atcl kujaa khee[emoji23][emoji16]
Unapandaje uchafu kama wewe sio mchafu

Familia nzima hakuna hata anaemilik pikipik half unaleta dharau kwenye mali za watu kwa upumbavu wako mwenyew

Funga mkanda tuliza kipoch manyoya

Ungekua na hela ungepanda scania
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk

Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu nimerushwa hadi kichwa kimedunda kwenye roof na nundu juu

Mabasi ya kichina hayapo comfortable kabisa hasa linapokuja swala la matuta au mashimo, ukikaa nyuma kule yanaweza kukuua. Hapa nasafiri na toleo lao jipya d14 Yutong ila ni hovyo kabisa. Seat ya nyuma likikanyaga tuta unarushwa juu, si hatari hii?

Hapa ndani kulikuwa na kampuni ya Dar Coach, walikuwa wanajitahidi mlikubaligi vipi kuruhusu hizi takataka hadi kile kiwanda kikafa?

Mabasi ya kichina yachunguzwe ubora wake yatakuja kuua. Mtu ukitaka panda gari kama Tahmeed, Katarama, Kilimanjaro zile scania huwezi kuta unaumia gari ikipita kwenye tuta hata zile Bus za Dar coach made in Tz walikuwa wanajitahidi.

Basi za mchina zimejazwa urembo tu ila yale ni matakataka siti za nyuma ni risk mimba inaweza chomoka
Wana vitu bora Sana tatizo ni bajeti na standards zetu.. Mchina haachi hela atakupa utakacho kwa pesa yako
 
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk

Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu nimerushwa hadi kichwa kimedunda kwenye roof na nundu juu

Mabasi ya kichina hayapo comfortable kabisa hasa linapokuja swala la matuta au mashimo, ukikaa nyuma kule yanaweza kukuua. Hapa nasafiri na toleo lao jipya d14 Yutong ila ni hovyo kabisa. Seat ya nyuma likikanyaga tuta unarushwa juu, si hatari hii?

Hapa ndani kulikuwa na kampuni ya Dar Coach, walikuwa wanajitahidi mlikubaligi vipi kuruhusu hizi takataka hadi kile kiwanda kikafa?

Mabasi ya kichina yachunguzwe ubora wake yatakuja kuua. Mtu ukitaka panda gari kama Tahmeed, Katarama, Kilimanjaro zile scania huwezi kuta unaumia gari ikipita kwenye tuta hata zile Bus za Dar coach made in Tz walikuwa wanajitahidi.

Basi za mchina zimejazwa urembo tu ila yale ni matakataka siti za nyuma ni risk mimba inaweza chomoka
Kwa wale waopita wilaya za Makambako mpaka Iringa ulisemalo ni la kweli, barabara hii imejaa mafuta makubwa am apo wanaokaa siti za nyuma hurushwa kiasi cha kujigonga kwenye keria ya kuwekwa mizigo, hili ni jambo la kawaida.
 
Uko sahihi kabisa. Wao kugawa soda na gari kuwa na choo ndani wanasema ni luxury,,,,yani mabasi siti hazina viwango kabisa yani, utadhani umekaa kwenye ubao
 
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk

Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu nimerushwa hadi kichwa kimedunda kwenye roof na nundu juu

Mabasi ya kichina hayapo comfortable kabisa hasa linapokuja swala la matuta au mashimo, ukikaa nyuma kule yanaweza kukuua. Hapa nasafiri na toleo lao jipya d14 Yutong ila ni hovyo kabisa. Seat ya nyuma likikanyaga tuta unarushwa juu, si hatari hii?

Hapa ndani kulikuwa na kampuni ya Dar Coach, walikuwa wanajitahidi mlikubaligi vipi kuruhusu hizi takataka hadi kile kiwanda kikafa?

Mabasi ya kichina yachunguzwe ubora wake yatakuja kuua. Mtu ukitaka panda gari kama Tahmeed, Katarama, Kilimanjaro zile scania huwezi kuta unaumia gari ikipita kwenye tuta hata zile Bus za Dar coach made in Tz walikuwa wanajitahidi.

Basi za mchina zimejazwa urembo tu ila yale ni matakataka siti za nyuma ni risk mimba inaweza chomoka
Shida sio mabasi shida ni miundo mbinu na barabara mbovu na zenye matuta.

Serikali ya CCM iwapendi ndio maana wanatuendesha watakavyo.

Fika Harare Zimbabwe ujionee basi pampa yake hipo chini kabisa yani kwanza barabara ni mkeka.

Sasa huku kwetu barabara kuna mashimo,matuta,rasta na nyembamba.
 
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk

Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu nimerushwa hadi kichwa kimedunda kwenye roof na nundu juu

Mabasi ya kichina hayapo comfortable kabisa hasa linapokuja swala la matuta au mashimo, ukikaa nyuma kule yanaweza kukuua. Hapa nasafiri na toleo lao jipya d14 Yutong ila ni hovyo kabisa. Seat ya nyuma likikanyaga tuta unarushwa juu, si hatari hii?

Hapa ndani kulikuwa na kampuni ya Dar Coach, walikuwa wanajitahidi mlikubaligi vipi kuruhusu hizi takataka hadi kile kiwanda kikafa?

Mabasi ya kichina yachunguzwe ubora wake yatakuja kuua. Mtu ukitaka panda gari kama Tahmeed, Katarama, Kilimanjaro zile scania huwezi kuta unaumia gari ikipita kwenye tuta hata zile Bus za Dar coach made in Tz walikuwa wanajitahidi.

Basi za mchina zimejazwa urembo tu ila yale ni matakataka siti za nyuma ni risk mimba inaweza chomoka

Samahani Bikira Latifa....
unastahili uangalie zaidi mwendeshaji (Dereva) wa hilo basi ulilopanda ikifuatiwa na barabara unayopita..
Kama dereva wenu anaruka matuta (bumps) kwa spidi inayozidi kms 60, lazima basi lirushe.

LAKINI PIA; Wachina hutengeneza bidhaa inayotakiwa sokoni, na wala sio bidhaa wanayoitaka. Hivyo mabasi, yenye hadhi nzuri sana na ya kimataifa yanatengenezwa China; tatizo tunafika bei? kwa hiyo tatizo ni letu na sio wachina.
 
Kwa wale waopita wilaya za Makambako mpaka Iringa ulisemalo ni la kweli, barabara hii imejaa mafuta makubwa am apo wanaokaa siti za nyuma hurushwa kiasi cha kujigonga kwenye keria ya kuwekwa mizigo, hili ni jambo la kawaida.
Ni hatari
 
Samahani Bikira Latifa....
unastahili uangalie zaidi mwendeshaji (Dereva) wa hilo basi ulilopanda ikifuatiwa na barabara unayopita..
Kama dereva wenu anaruka matuta (pumps) kwa spidi inayozidi kms 60, lazima basi lirushe.

LAKINI PIA; Wachina hutengeneza bidhaa inayotakiwa sokoni, na wala sio bidhaa wanayoitaka. Hivyo mabasi, yenye hadhi nzuri sana na ya kimataifa yanatengenezwa China; tatizo tunafika bei? kwa hiyo tatizo ni letu na sio wachina.
Mabasi ya kichina yana changamoto nyuma hayana utulivu ni mabovu
 
Panda marcopolo uone
Ufafanuzi kidogo; Pamoja na kwamba tumekuwa tukifikiri kuwa Marcopolo ni brand ya Scania; ILA ukweli Marcopolo ni kampuni ya kujenga bodi za magari. Hivyo kampuni tofauti tofauti za magari zina bodi zilizo jengwa na Marcopolo zikiwemo, TATA, ISUZU, SCANIA, nk nk
 
Back
Top Bottom