KERO Mabasi ya kichina ni matakataka. Sijui TBS iko wapi

KERO Mabasi ya kichina ni matakataka. Sijui TBS iko wapi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk

Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu nimerushwa hadi kichwa kimedunda kwenye roof na nundu juu

Mabasi ya kichina hayapo comfortable kabisa hasa linapokuja swala la matuta au mashimo, ukikaa nyuma kule yanaweza kukuua. Hapa nasafiri na toleo lao jipya d14 Yutong ila ni hovyo kabisa. Seat ya nyuma likikanyaga tuta unarushwa juu, si hatari hii?

Hapa ndani kulikuwa na kampuni ya Dar Coach, walikuwa wanajitahidi mlikubaligi vipi kuruhusu hizi takataka hadi kile kiwanda kikafa?

Mabasi ya kichina yachunguzwe ubora wake yatakuja kuua. Mtu ukitaka panda gari kama Tahmeed, Katarama, Kilimanjaro zile scania huwezi kuta unaumia gari ikipita kwenye tuta hata zile Bus za Dar coach made in Tz walikuwa wanajitahidi.

Basi za mchina zimejazwa urembo tu ila yale ni matakataka siti za nyuma ni risk mimba inaweza chomoka
Una hoja. Usikilizwe.
 
Upo sahihi kabisa ,ila mwandiko wako haupo kike kike,samahani lakini 🙏
.....na hauoneshi kama ni wa binti mwenye bikira. Kama kutahitajika tume ya uchunguzi, nipo tayari kuwa Mwenyekiti wa tume.
 
Kwa kweli juzi nilipanda Hai express ,basi zuri sana kwa ndani lina nakshi za kutosha,.nilikaa siti ya nyuma,kwa kweli hizi basi ni kama umepanda lori, suspension ni ya hovyo sana, ni kitu gani kinamfanya mchina asifunge booster anafunga spring kama vile ni lori la mizigo
 
Tatizo ni Latra. Haya mabasi D14 mwanzo yalikataliwa kuingizwa nchini kutokana na kutokukidhi vigezo lakini baadaye yakaruhusiwa.
 
Kwa kweli juzi nilipanda Hai express ,basi zuri sana kwa ndani lina nakshi za kutosha,.nilikaa siti ya nyuma,kwa kweli hizi basi ni kama umepanda lori, suspension ni ya hovyo sana, ni kitu gani kinamfanya mchina asifunge booster anafunga spring kama vile ni lori la mizigo
Nimeikumbuka sumry
 
Hapo wa kulaumiwa ni dereva sio gari
Mkuu kama umewahi panda bus ya mzungu huwezi kuzungumza haya, kapande bus zenye mchanganyiko wa coil spring na booster utakuja kutoa ushuhuda hapa
 
Mkuu kama umewahi panda bus ya mzungu huwezi kuzungumza haya, kapande bus zenye mchanganyiko wa coil spring na booster utakuja kutoa ushuhuda hapa
Mwambie maana watu tumepanda bus luxury tokea sumry high zile gari za malaysia full qiality hadi tumeona utofauti sio wajinga
 
Mwambie maana watu tumepanda bus luxury tokea sumry high zile gari za malaysia full qiality hadi tumeona utofauti sio wajinga
Waliopanda Izirar au marcopolo achana na hiI polo za mchina na Malva hapo kenya, zile polo og za mbrazil ni habari nyingine mkuu
 
Mwambie maana watu tumepanda bus luxury tokea sumry high zile gari za malaysia full qiality hadi tumeona utofauti sio wajinga
Waliopanda Izirar achana na hiI polo za mchina na Malva hapo kenya, zilo polo og za mbrazil ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom