Mabasi mazuri kwenda Mwanza

Mmmh[emoji849]
 
Mkuu hapo ni "0" umeongeza au ulikua unamanisha nini?
 
Hilo basi litakuwa zuri sana,nauli zaidi ya ndege!!!!
 
Nilijua Ally's ndo yanaongoza lakini nimepanda Happy Nation baada ya kuchelewa booking ya Ally's sikujuta, kwa comfortability ni mazuri kushinda Ally's, muda yanawahi pengine pamoja au kishinda Ally's.
 
Reactions: PNC
Dar Lux haipo tena, naona wameachana na biashara ya mabasi.

Wanasema hayo Tanzanite ndiyo yalikuwa Dar Lux.
Tanzanite anatembelea gap la darlux, maana ana gari 3 tu
 
Hamna safari humo, hiyo gari ishanilaza njiani tumetoka Nyegezi saa saa mchana kuja Dar. Bus za uhakika kwa Mwanza kuja Dar ni Ally* au Tanzanite.
kawaida kutokea dharura ukizingatia ni kampuni mpya bado wana gari chache huwezi kufananisha na hao waarabu wazoefu ila siwapendi wako rafu mno barabarani..
 
Kampun ina gari moja alafu unaisifia? Et chukua dar lux gari yenyewe ni moja yaan uache kampuni kama allys , happy nation , zuber ukahangaike na kampuni yenye bus moja tena zaman
Hivi wamepatwa na nini Dar lux mbona walikua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…