Mabasi Makali .........................

ulipoweka tu uyanga ndio hamu yote ya kuendelea kucheki hii mibasi imeisha..
aaaaaaaaahhhh, pole mkuu, mabasi yenyewe yana rangi za Chama.................sio mbaya changia chochote tu hata kuikashifu..............
 
View attachment 73974
kufuru, mdhungu na Mungu wameishana herufi moja tu, kwa Mungu letters hakuna Z

Mwe, mbona linaonekana pua ikigusa maji na mkia ukigusa maji? Hebu weka tuone linavyopiga mbizi bana. Hili lazima litakuwa ni nyambizi muundo wa basi, vinginevyo linatumika kubeba ice cream, samaki wabichi n.k.
 
Humo abiria tu mkuu, basi la kubebea samaki tena
 
Tukumbuke tulipotoka.
RELWE%5B1%5D.jpg
 
kwahiyo muongozaji anakuwa captain & dreva, lol!! Hii balaa, inawezekana kweli? Watuletee nahuku hatutapata kuambiwa kejeli za kupiga mbizi kigamboni na busisi pia kamanga na kwingineko. Hata visiwani yatakuwa msaada mkubwa sana! :target:
safari ni safari mkuu, bora msafiri awe kivukoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom