Mabasi Makali .........................

Mabasi Makali .........................

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
download (1).jpg
moja ya mabasi makali sana
 
Amavubi hujambo lakimi wewe naona leo umeota ndoto
 
Last edited by a moderator:
Duh!kwa barabara zetu hizi,utakufa kwa pressure tu!mara limeanguka,mara limegongwa kwa nyuma,nk!
wala hakuna ambalo lingeweza kutembea, yako chini sana
 
kwa jinsi simba walivyoingiwa na jealous lately, wangelipopoa mawe kama walivyotupopolea basi letu kule kabuku tukiwa tunaenda kuwafunga coastal union
ngoja siku mkiruka kwenda turkey watawapopoa tena
 
2zob2q9.jpg
hili laweza tembea baharini, mtoni, ziwani etc
 
4uf1c4.jpg
kufuru, mdhungu na Mungu wameishana herufi moja tu, kwa Mungu letters hakuna Z
 
Back
Top Bottom