Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,331
- 15,823
Mkuu mbona makasiriko? Una biashara ya hotel hapo mbezi, pole sana MkuuInchi inawndeshwa na kelele za mitandaoni,wanafanya madudu kisha wanasikikizia wananchi wanasemaje,wakikaa kimya basi ndy imeisha hiyo,wakilalamika ''nendeni mkaliangalie hili linalolalamikiwa na wananchi"
Hii taarifa Yule kiongozi mwenye mashavu makubwa km ameficha nyama hawezi kuifurahia kabisa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
John jana nili propose kuwa wawaache waende na abiria wao lakini sharti liwe lazima wapita magufuli kupakia/kushusha na kulipa ushuru. Imefanikiwa and I said that this was simple to resolveNi jambo jema
Nadhani bado wanahitaji kuumiza vichwa zaidi,kuwa na stand ya Magufuli ni moja ya njia ya kupunguza foleni zisizo za lazima katikati ya mji,kwahiyo waendelee kukuna vichwa ili kuliweka hili vizuri,maana nawaza tu kama kila kampuni ya mabasi itafanikiwa kukidhi hivyo vigezo itakuwa ni vurugu kwakweli...
[siyo kweli mkuu]
Niambie Faida ya Darajs la juu Ubungo stand Sasa hivi? Walijua watahamia Mbezi wakaruhusu Ujenzi Daraj la milions Ubungo stand ya zamaniMachinga wameteswa sana nchi hii,hawathaminiwi,Mali zao zimeharibiwa,wameitwa kila aina ya majina mabaya.
Wamenyanganywa Mali zao mwisho wa siku wametengewa maeneo yao.....lakini wamerudi na wanauzia maeneo yao ya zamani.
swali: Je serikali huwa inakurupuka katika maamuzi ya baadhi ya mambo yenye kuhitaji umakini?
Mfano: stendi zimejengwa nchi nzima isipokuwa bukoba....ila utaratibu wa uendeshaji wa hizo stendi ni wizi,unyanganyi,vitisho na kubebeshana misalaba....why?
Hili suala Hata mjinga atalipatia...iko hivi, abiria washukie kwenye vituo vyovyote vile kulingana na eneo analoona ni sahihi then bus Hata likiwa tupu liingie stendi kuu. Just simple as that.
Mkuu kwani hatupaswi Kusema ukweli? Ni lazima tuonekane tumetumwa,tunatumika au tuna maslahi Fulani Lindi tukisema ukweli? Huoni Kama kuna tatizo la kiongozi mahali mkuu?Mkuu mbona makasiriko? Una biashara ya hotel hapo mbezi, pole sana Mkuu
Usumbufu na wizi uliopo stand ya Magufuli vingefanyiwa kazi na kupunguza adha zilizopo ili kufanya watu waridhike na huduma!! Kwa Sasa stand ipo kama kusanyiko la watu wasio na busaraSasa tuache kutumia pesa nyingi kujenga stendi za mabasi,