Kutoa mabango ya matangazo barabarani bila taarifa si sawa

Kutoa mabango ya matangazo barabarani bila taarifa si sawa

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mengine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa.

Mimi bango langu la kanisa limeondolewa bila taarifa. Nipo Goba (Kulangwa Six). Yeyote anayejua yalikopelekwa anisaidie.

Kwenye mabango kuna namba za simu. Mbona hawakutupatia taarifa yoyote? 0769-080-629
 
Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mwngine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa. Mimi bango langu la kanisa limeondolewa bila taarifa. Nipo Goba (Kulangwa Six). Yeyote anayejua yalikopelekwa anisaidie. Kwenye mabango kuna namba za simu. Mbona hawakutupatia taarifa yoyote? 0769-080-629
Ulilipia Tanroad?

USSR
 
Wewe ndiyo msaidizi wa lile kanisa la kiboko ya wachawi!, yule boss wako kamwaga vumbi mwambie tunamsaka.
 
Dogo una gia za ajabu za kumuaproach Lucas's sweetheart.

Lucas Mwashambwa
20240329_234318.jpg
 
Dogo una gia za ajabu za kumuaproach Lucas's sweetheart.

Lucas Mwashambwa
Wewe muache ajichanganye kwa ephen aone nitakavyo mtembezea kichapo cha mbwa mwizi. Kwa ephen ndipo moyo wangu ulipo hapo.kwa hiyo kucheza na ephen ni sawa na kucheza na hisia zangu. Nitapiga mtu na hakutakuwa na kesi.maana nitakuwa najilinda zidi ya mali yangu jambo ambalo linakubalika kisheria
 
Back
Top Bottom