mabangaluu ya ukweli na ghali duniani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mabangaluu ya ukweli na ghali duniani!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Song'ito, Jun 6, 2012.

 1. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Jumba kama hili linakosti bei gani kulimiliki maeneo ya Dar,Moro?
   
 3. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aisii inabidi wataalamu wa majengo watuambie, mana ni balaa...
   
 4. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviwiani? umeweka bangaluu halafu umeita mabangaluu...
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  \
  mengine yalikuwa mwendelezo toka kwa wadau...naona wamelala..
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Lazima uwe waziri wa Maliasiri, au Nishati na madini, au fedha au........ waziri Mkuu
   
 7. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ukiwa na million 450 unapata kitu hiki
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo lile la mh maige limeifunika hii?lime cost $700,000/ na dalali kala zake za kutosha.
   
 9. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hapo sasa na mm sijapata picha...mana sidhani kama la maige linalifikia hekalu hili japo kwa mbali
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hii 450m siyo thamani ya hili jumba,but ni gharama ya kujenga hili jumba,so in the other means kama utatumia 450m kulijenga basi thamani yake ni around $1,000,000.
   
Loading...