Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,000
- 828,764
Wana wakiwa hawana uwezo wa kupata vibali vya kuingia spain wakabuni mbinu za aina yake ili waingie Spain bure..
Wakaji coumaflage kama mikondoo wakatiwa kwenye container wakasafirishwa
Kufika mpakani dili likabuka baada ya kuswagwa kwa viboko walie kama kondoo wakalia kama watu😂
Je kama ni Afghanistan wangetumia mbinu hiyo kuingia!?